goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,852
- 12,981
Wakuu swalamaa,
Nashindwa kuelewa kwann sas HV hatuna nguvu za kisiasa Kama zamani Hali imepelekea siasa na viongozi mashuhuri kushika nafas nyeti na muhimu katika taifa hili kutokea Kanda ya Kati na nyanda za juu kusini mfn naibu spika had uspika ...tofauti na zamani serekali zilizopita ukitoa ya awamu ya tano ambapo tusipo toa waziri mkuu bas tutatoa mawaziri wa wizara nyeti Kama za fedha na mipango ..mifano ipo mingi tu wa mawaziri waliopita sitaki kuwataja
Sababu Ni nn Ni kwamba hatuwapeleki vingozi wenye elimu pana na nzur katak bunge letu sasa mfano Mrisho gambo Ana exposure gani ya kuwa wazir au mmbuge wa arumeru mashariki cjui kapata wapi elimu yake yaan lile Jimbo lake zamani lilishikiliwa na waziri wa fedha Jeremiah sumari (r.i.p) ukija Jimbo la arumeru magharibi ndio kabisa Hakuna kitu pale cjui kasoma chuo gani Yule mnk hata kuchangia hoja cjawai msikiaa . Ole sendeka ndio hvyo Tena yeye simlaumu Ni fomu six leaver na alikuwa machachari ...
Sasa usiseme Moshi cjui mmbuge wake wa mjin anaitwa Nani hmm kitu. Dr kimei amekimbilia ubunge tukijuwa kuwa atapata uwazir hata wa uwekezaji hmn kitu kaenda bungeni kuwasema wachaga kuwa Ni wezi .Dr molel yey Ni mamluki fln sijui hata kapewaje unaibu wa afya
Kwa kweli sas HV hatuna wasomi ktk siasa za kasikazin Wal wanasiasa wenye mvuto kweny nchi hi wanaotokea kazikazni ambao wanaaminika na rais waJMT
Tumepitwa Sana haki mmbuge unatakiwa uwe na elimu pana ili rais JMT akuamini Kama alivyo muamini professor mkenda kwenda elimu
Tumepitwa Hadi na mkoa wa Pwani.