bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,667
Hivi kwa hapa nchini ni kanda/mkoa gani unaongoza kwa kuibua maneno mapya ya kiswahili kama sijakosea kwa kiswahili sahihi ni misimu.
Kuna maneno yameibuka siku hizi niya kiswahili ila mtu/watu wakiongea sielewi chochote maneno kama arifu, mafekeche, kauzu, jefongo, kindezi nk.
Upi ndo mkoa/kanda maarufu kwa kuibua maneno hayo sio mbaya ukitupa na mfano wa maneno hayo.