Kanda/mkoa gani uaongoza kwa kuibua maneno mapya ya kiswahili?

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Hivi kwa hapa nchini ni kanda/mkoa gani unaongoza kwa kuibua maneno mapya ya kiswahili kama sijakosea kwa kiswahili sahihi ni misimu.

Kuna maneno yameibuka siku hizi niya kiswahili ila mtu/watu wakiongea sielewi chochote maneno kama arifu, mafekeche, kauzu, jefongo, kindezi nk.

Upi ndo mkoa/kanda maarufu kwa kuibua maneno hayo sio mbaya ukitupa na mfano wa maneno hayo.
 
Hivi kwa Hapa Nchini ni Kanda/Mkoa gani unaongoza kwa Kuibua Maneno Mapya ya Kiswahili Kama sijakosea kwa Kiswahili Sahihi ni Misimu.
Kuna Maneno Yameibuka siku hizi niya Kiswahili ila Mtu/Watu wakiongea Sielewi chochote Maneno Kama Arifuu,Mafekeche,Kauzu,Jefongo,Kindezi...nk

Upi Ndo Mkoa/Kanda Maarufu kwa Kuibua Maneno hayo Sio Mbaya ukitupa na mfano wa Maneno Hayo.
Ukanda wa pwani.
 
Back
Top Bottom