Kanali Wilbert Augustine Ibuge ameteuliwa kuwa Chief of Protocal

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Kanali Wilbert Augustine Ibuge kuwa Balozi na Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocal) wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

> Ibuge anachukua nafasi ya Balozi Grace A. Martin ambaye atapangiwa majukumu mengine ya Kibalozi

#JFLeo
 
1569914043802.png
 
Back
Top Bottom