Kanali wa Iran Revolutionary Guards, Sayad Khodai auawa

Dah! Wenzetu wa dini ile mnalo, hampumuzishwi raundi hii, kule mlijitia kumshabikia Putin, amewaaibisha, huku kwa Iran ambaye angekua kimbilio lenu ndio naye anapokea aibu zaidi.... Bwana Utam
 
Almongstrong akaenda mwezini akasiki Adhana Allah wakbar Allah wakbar na Muhammad ndiye Mtume pekee wa mwisho.
Almongstrong akajiuliza:, Eeh, dini si ndiyo hii sasa!!.
Alivyorudi akaslimu, CIA wakataka kumuua.
Wakristo hawataki watu waujue ukweli kuhusu dini ya Allah.
hizi story za vijiweni huwa zinawasaidia nini?
 
Mossad in action! Hawa jamaa ni balaa! waliwahi kuingia Tunisia na kumchinja Abuu Jihad risasi mia nane mwilini halafu mke wake na watoto watatu walilazimishwa kuangalia jinsi mwili wa baba yao ukikatika vipande vipande mpaka maiti iliishia kujaa katika kibiliti tuu!
Kama walifanya hivyo walikosea,huyo mke na watoto walistahili kushuhudia hayo?Unadhani hao watoto wakikua wataacha kulipa kisasi?Ndio maana tunaona vijana wadogo kabisa 18,19,20 yrs wanajitoa muhanga,wanaenda Israel na kuchoma watu visu randomly!
Yaani hapo Mossad wanaweza kujiona wamefanya la maana ila wametengeneza chuki ambayo italipwa na damu ya waisrael!
 
Unaongea utadhani huu uhasama umeanzia pale alipouwawa.Huu ugomvi upo tangu Taifa la Israel lianzishwe,so hakuna jipya,wakienda kuwachoma visu randomly,wanavurumishiwa makombora wanakufa wengi,hapo mwenye hasara ni nani?
 
Wote Wana hasara,ni kama wewe unavyosema Russia kapata hasara japo hasara ya Ukraine ni multiple times higher!
 
Russia ina hasara mara mbili zaidi kwakuwa mwisho wa siku pesa yake itatumika kuijenga upya Ukraine wakati huo huo yeye akiwa anaogelea kwenye dimbwi la vikwazo vya ki uchumi
 
Sio mbaya maana wakati huo Russia itakuwa inajenga territory yake!
 
Back
Top Bottom