Kanali wa Iran Revolutionary Guards, Sayad Khodai auawa

Alitangaza kuslimu unless we si msikilizaji wa CD za akina Sheikh Michael na mazinge ndiyo maana hizi habari uzijui.
Nyinyi wafuasi wa mudy sijui mpo je badala mtumie kitabu chenu kutete uislam wenu mnaleta story za uongo wa kutunga watu kuslim. Mi huko mtaani nasikiaga mara ronaldo, messi eti wameslim lakini nikiangalia mechi zao wakifunga wanapiga ishara ya msalaba.
 
Warudishe waap? Mengine yoote walirudisha mangapi!?
Wanaotumika kurudisha ni hamas na wengine.
Au kwa akili zako Israel hairushiwi makombora na hamas na Hizbollah?
Juzi juzi tu makombora sita yalirushwa toka Lebanon jamaa zenu wanaficha maafa.
ISRAEL IS NOT GIANT LIKE THE WAY YOU HYPE IT.
 
Andamana, yaani sisi tuue gaidi livaa pedo afu tuhangaike kurekodi, kwani tuko Israel
UPUMBAVU wenu mnahusisha Vita hizi na udini.
Acheni huo upumbavu.
Kama kweli Kuna mtu anastahili kuitwa gaidi ISRAEL ndio gaidi namba moja mashariki ya Kati.
Kafuatilie mauaji alosababisha Israel 1965 Syria kisa kuteka miji aliua sana kinamama na watoto,fuatilia mauaji ya Palestina akiua mpk waandishi wa habari akiwemo Sheriin Abu Akleh ni mkristo tena mroma kama ww.
Acheni huo ujinga.
Israel toka inaletwa mashariki ya Kati 1948 imekua ikiingia kivita na kufanya uporaji ardhi.
KAMA WW KWELI UMESOMA NA UNAJUA CONCEPT YA TERRORISM BASI THE REAL TERRORIST IS ISRAEL .
 
Andamana, yaani sisi tuue gaidi livaa pedo afu tuhangaike kurekodi, kwani tuko Israel
UPUMBAVU wenu mnahusisha Vita hizi na udini.
Acheni huo upumbavu.
Kama kweli Kuna mtu anastahili kuitwa gaidi ISRAEL ndio gaidi namba moja mashariki ya Kati.
Kafuatilie mauaji alosababisha Israel 1965 Syria kisa kuteka miji aliua sana kinamama na watoto,fuatilia mauaji ya Palestina akiua mpk waandishi wa habari akiwemo Sheriin Abu Akleh ni mkristo tena mroma kama ww.
Acheni huo ujinga.
Israel toka inaletwa mashariki ya Kati 1948 imekua ikiingia kivita na kufanya uporaji ardhi.
KAMA WW KWELI UMESOMA NA UNAJUA CONCEPT YA TERRORISM BASI THE REAL TERRORIST IS ISRAEL
 
Back
Top Bottom