Kanali Mstaafu Meliti (78) afunga ndoa umri wa mke miaka 27

Baadhi ya mabinti- siku hizi wanaona ni bora kuolewa na mzee upate amani na furaha ya moyo- kuliko kuolewa na kijana ukaishia kwenye stress na fedheha- ulevi- madawa ya kulevya- michepuko- wivu uliopitiliza- ugomvi- uvivu- na kipato duni- kuyaepuka haya yote wadada wanaona ni bora kujitafutia Kibabu chako- uishi kwa raha na furaha.
 
Back
Top Bottom