Kanali Mstaafu Meliti (78) afunga ndoa umri wa mke miaka 27

NDIO KANALI, KANALI MBABE. ILA KWA UMRI HUO MADUNGU YAKO TEKETEKE KWA SBB YA MAGONJWA YA UZEENI.
KWAMBA LILE GWARIDE LA MGUU PANDE MGUU SAWA, MBELE SOGEA NYUMA PINDUKA, HAZIFANYIKI KIBABE

DAWA YA NJAA NI KULA, DADA LAZIMA ALIWE ILI ASHIBE
 
Maisha yanahitaji busara sana; hapo alitakiwa atafute mjane au single mama ambaye umri wao ungeendana
 
Acheni kulaumu bana huyo dada kafata upendo watu wazima wengi hujua kujali na ku care kwahyo mahusiano yanakuwa murua with less conflict
Mzee kafiwa na mke mda sio mrefu,istoshe dada umri kajaza na mtoto wamezaa,sasa sijui wale vijana siku mzee akifariki watamuua...hiyo hotel bila mama yao ilishakufa mda mama alikua mpambanaji
 
Kanali Mstaafu Mika Metili, mwenye umri wa miaka 78 akiwa na mke wake mpya mwenye umri wa miaka 27 kwenye ndoa Yao iliyofungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa ILBORU

Tofauti ya umri wao ni miaka 51. Nini maoni yako?!

View attachment 2079364
Gari bovu linavitwa na gari Zima, na si vinginevyo.
 
And if he is going for viagra as a power bank he will accelerate his days.
Yeah, and that girl will make sure the fool lives as short a time as possible, achote mafao atafute vijana wa kula nao, Suckers will never end, that colonel is been taken for a ride!
 
Kanali Mstaafu Mika Metili, mwenye umri wa miaka 78 akiwa na mke wake mpya mwenye umri wa miaka 27 kwenye ndoa Yao iliyofungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa ILBORU

Tofauti ya umri wao ni miaka 51. Nini maoni yako?!

View attachment 2079364
Muda si muda tutasikia Kanali hatunaye tena.

Una uzito wa kilo 800 kisha unapandisha kilimanjaro huku unakimbia. Lazima ziraili akuweke kwenye dodoso lake la uyekekezaji
 
Back
Top Bottom