Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,990
True... ni kumdhalilisha
Tena wale wanapitia military basic training kwanza ,kwa ufupi wale ni askari wanapitia pass out na kula kiapo.
Lakini kitendo cha Colonel Lubinga kumkumbusha Membe a,b,c za askari wa akiba ni kumdhalilisha kwa makusudi,japo sijui ni kwa faida ya nani mbele ya raia.