Kanali Ghadaffi na Tanzania

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
965
66
Watu wamemsifu Ghadaffi kwa kusaidia Tanzania (mafuriko).Tukumbuke huyu jamani alimsaidia Muislamu mwenzake Idd Amin Dada alipovamia Tanzania.Tangu siku hizo sijamuamini kabisa.

Do you think kama Tanzania tungekuwa na uhusiano na state ya Israel angetusaidia?Kwa hiyo suala linakuja ,kwa nini nchi yetu mpaka leo,
tumeshindwa kuwa na ubalozi huko nchini Israel wakati walitoa mchango mkubwa sana katika ujenzi wa landmark buildings kama Kilimanjaro hotel etc?
 
Huyu kikongwe na mimi sina imani naye kabisa! He's simply opportunistic, the same to most of Arabs! Wanapenda wao kuungwa mkono kwenye mambo yao lakini likitokea jambo (mfano mzuri mauaji ya Rwanda) hawasemi chochote! Israel wana msaada mkubwa kwetu kuliko huyu hypocryte!
 
Huyu bwana historia yake imesheheni usaidizi kwa waasi na wapindua serikali. Sithubutu kumuita msaidizi wa magaidi kama Marekani lakini, ni mtu mjanja mjanja anyependa kutukuzwa na yeye anafikiri ndio mtu anayefaa kuingoza Afrika.
Ametoa msaada yes, sijui masharti ya msaada huo, isipokuwa si kweli kwamba yeye anaipenda sana Tanzania.
Ni opportunist! He promised Mugabe kwamba angelimpa mafuta ya kuendeshea economy yake wakati wa vikwazo. Tufanye utafiti kama aliweza kufanya hivyo. Mimi kama mimi simuamini eti ana mapenzi ya dhati na sisi!! No way
 
Kitu ambacho mnasahau ni kwamba Gadafi alijutia baada ya kumsaidia Amin. Alimtimua Amina Libya na Amin akakimbilia Saudi Arabia. Gadafi hajasahau kwamba Nyerere alimrudishia wanajeshi wake waliokamatwa vitani Uganda bila kudai compesation. And Gadafi has said such in public. He has an affection for Tanzania and I believe him to be genuine.
 
Mtu haaminiki kwa maneno ya mdomoni, bali kwa matendo hiyo haitoshi watanzania kumwanmini, kwanza ni mtu mwenye udini, sana na naamini
amefanya hayo kwa sababu ya huyo mweziye (Jk)kwa sababu wana mlengo mmoja kichini chini
 
Kitu ambacho mnasahau ni kwamba Gadafi alijutia baada ya kumsaidia Amin. Alimtimua Amina Libya na Amin akakimbilia Saudi Arabia. Gadafi hajasahau kwamba Nyerere alimrudishia wanajeshi wake waliokamatwa vitani Uganda bila kudai compesation. And Gadafi has said such in public. He has an affection for Tanzania and I believe him to be genuine.
Never say never, labda ni genuine! Isipokuwa nina mashaka na ndio maana sioni kama ni mtu mwenye agenda straight kwenye mambo ya Afrika zaidi ya kutafuta nafasi ya utukufu...kiongozi wa united states of Africa.
 
Please let us not be dim-witted in our arguments, the man decided with his own heart without being persuaded by anybody to help Tanzanians left homeless caused by for the natural catastrophe. Just consider yourself, how much have you donated/ contributed so far to help those left homeless?
Mobile company like Vodafone, Zain are providing that service, luckily enough you can contribute even Tsh.250. Let us not blameworthiness while we’re irresponsible.
A simple logic, if all Tanzanians own a mobile phone could contribute only 250 Tsh, and the number of citizens own mobile phone ~ 12,000,000.therefore 12,000,000 *250=3billions, so how many house we could build just for your 250 contribution?.

I will much appreciate if we could encourage ourselves the important of taking our own responsibilities for natural disaster like that happened at Kilosa rather than starting blaming those who touched to help our mothers, fathers, wives, children, brothers and sisters.HILLO LINAWEZEKANA KAMA TUKIACHA UBINAFSI.
 
Muamar al Quddhafi ana Islamic ajenda ktk concepts zake za Umoja wa Afrika. Hilo hajalificha na sitegemei kitu tofauti kutoka kwa huyu mwarabu mpenda utukufu.
 
Watu wamemsifu Ghadaffi kwa kusaidia Tanzania (mafuriko).Tukumbuke huyu jamani alimsaidia Muislamu mwenzake Idd Amin Dada alipovamia Tanzania.Tangu siku hizo sijamuamini kabisa.

Do you think kama Tanzania tungekuwa na uhusiano na state ya Israel angetusaidia?Kwa hiyo suala linakuja ,kwa nini nchi yetu mpaka leo,
tumeshindwa kuwa na ubalozi huko nchini Israel wakati walitoa mchango mkubwa sana katika ujenzi wa landmark buildings kama Kilimanjaro hotel etc?

Wakiristo wangapi walisaidia na kuchangia ubaguzi southafrica? na pia kusaidia mapinduzi ya kijeshi na vita africa na bado tunauhusiano nao?

Tanzainia sio wajinga kuwa na uhusiano na nchi vamizi Israel lililovamia ardhi ya Palestina na kuvunja UN rosolutions za kumtaka aondoke ardhi ya Palestina, na watanzania sio cheap kwa sababu Israel wamejenga Kilimanjaro ndio tusiwakemee kwa unyama wao dhidi ya wapalestina.

Nadhani unabidi ufumbue macho na ujifunze au uulize, hapa JF hatutokuambia una mapepo kwa sababu ya kuuliza, uliza ujifunze!
 
Bull,tunazumgumzia Ghadafi,sio South Africa.Huyu Ghadafi alisaidia Idd Amin,mwislamu mwenzake dhidi ya nchi yetu,period!!!You know Amin aliishia Saud kwa waislamu wenzake.

Nafikiri Nyerere angekuwepo leo,huyu Ghadafi asingetoa huu msaada .Anataka kuinfluence Tanzania na Uislamu wake.EPA walizoiba mafisadi na wahindi ,zinatosha kabisa kuwasaidia wananchi.Be real man!
 
Huyu ni mnafiki tu kama wanafiki wenzake wa Saudi arabia waliompatia Idd Amin Hifadhi, Ghadafi hana lolote, hana nia njema yoyote kwa nchi yetu zaidi ya kueneza deen yake kwa kutumia hela zake za mafuta kuwarubuni maskini wa Kilosa. Alijaribu kueneza deen yake mwaka 77-79 kwa kumsaidia Idd Amin Dada kwa fedha silaha na wanajeshi akashindwa, sasa anataka kuja kwa gear nyingine na kujifanya ana huruma na watanzania wakati alikua mstari wa mbele kumpatia Idd Amini silaha ili aue watanzania.

Huyu ni nyoka ambae asingetakiwa kuruhusiwa kutia mguu wake katika ardhi ya Tanzania. Kwanza angetakiwa aje kuomba radhi watanzania kwa kuwaua watanzania sio kujifanya mwema.

Anadhani watanzania tumesashau kuwa alikua kipenzi cha katili bin Jeuri Idd Amin Dada, muuaji alierudisha nchi yetu nyuma kiuchumi?
 
Ama kweli mswahili ni ngozi ya mku..du. Hivi leo Gadafi anatoa Mabilioni ya fedha kutusaidia, bado kuna watu humu wanamsema vibaya? Eti oo anataka kueneza dini ya kiislam!! Ni Ujinga wa hali ya juu, Huyo marekani mnaemsifu mbona hajasaidia???
 
Huyu ni mnafiki tu kama wanafiki wenzake wa Saudi arabia waliompatia Idd Amin Hifadhi, Ghadafi hana lolote, hana nia njema yoyote kwa nchi yetu zaidi ya kueneza deen yake kwa kutumia hela zake za mafuta kuwarubuni maskini wa Kilosa. Alijaribu kueneza deen yake mwaka 77-79 kwa kumsaidia Idd Amin Dada kwa fedha silaha na wanajeshi akashindwa, sasa anataka kuja kwa gear nyingine na kujifanya ana huruma na watanzania wakati alikua mstari wa mbele kumpatia Idd Amini silaha ili aue watanzania.

Huyu ni nyoka ambae asingetakiwa kuruhusiwa kutia mguu wake katika ardhi ya Tanzania. Kwanza angetakiwa aje kuomba radhi watanzania kwa kuwaua watanzania sio kujifanya mwema.

Anadhani watanzania tumesashau kuwa alikua kipenzi cha katili bin Jeuri Idd Amin Dada, muuaji alierudisha nchi yetu nyuma kiuchumi?

Chuki huondoa maarifa na akili..na ndio ulikofikia wewe sasa..huna unaloweza kufikiri kwa haki utakufa kwa chuki dogo...

kuna watu wanafiki kama wazungu, kongo, rwanda, wamesupport wauaji na wanakaa makwao huwezi kuwasema kwakuwa ni mabwana zako
 
Bull,tunazumgumzia Ghadafi,sio South Africa.Huyu Ghadafi alisaidia Idd Amin,mwislamu mwenzake dhidi ya nchi yetu,period!!!You know Amin aliishia Saud kwa waislamu wenzake.

Nafikiri Nyerere angekuwepo leo,huyu Ghadafi asingetoa huu msaada .Anataka kuinfluence Tanzania na Uislamu wake.EPA walizoiba mafisadi na wahindi ,zinatosha kabisa kuwasaidia wananchi.Be real man!

Anachoongea Bull ni kutokuwa wabaguzi na kuona kupokea misaada kutoka sehemu kama Israel ni sawa lakini Ghadafi hapana, kwa sababu alimsaidia Amin. Israel nao ni wavamizi hata kama hawajawavamia watanzania. Na kama Jasusi alivyosema, kama Nyerere alimrudishia Ghadafi wanajeshi wake enzi hizo unadhani leo angefanya nini?
 
Inashangaza sisi ngozi nyeusi kujinasibu kwa tamaduni na dini za wengine na hata kufikia hatua za kuingiliana maungoni kutoana jeraha au hata uhai. Hii inashangaza sana.

Ni kwanini tujisikie kuguswa na uarabu au uyahudi zaidi badala ya tamaduni zetu na maisha yetu na mustakabali wa taifa letu?? Tutakuwa mateka hadi lini?? Kwa wale mnaosema Gaddhaffi haienezi uislamu nawasemehe kwa sababu hamjui mtendalo na mmetindikiwa maarifat au uelewa. Lakini kumbukeni, mfano huu. Jinsi wakoloni walivyorecruit askari kutoka ktk mataifa waliokuwa wakiyakalia kwa mabavu. Na wale watu eti leo hii wanaitwa 'mashujaa'! Yaani pamoja na mkoloni kuwatawala na kuwatenda vibaya sana, walikuwa tayari kuweka maisha yao rehani kwa ajili ya huyuhuyu mkoloni. Inasikitisha jinsi ngozi nyeusi isivyotumia akili. Inatia hasira.
 
Watu wamemsifu Ghadaffi kwa kusaidia Tanzania (mafuriko).Tukumbuke huyu jamani alimsaidia Muislamu mwenzake Idd Amin Dada alipovamia Tanzania.Tangu siku hizo sijamuamini kabisa.

Do you think kama Tanzania tungekuwa na uhusiano na state ya Israel angetusaidia?Kwa hiyo suala linakuja ,kwa nini nchi yetu mpaka leo,
tumeshindwa kuwa na ubalozi huko nchini Israel wakati walitoa mchango mkubwa sana katika ujenzi wa landmark buildings kama Kilimanjaro hotel etc?
watu wanavyozeeka na kuelekea mbinguni wanakuwa na huruma sana!....
 
Bull,tunazumgumzia Ghadafi,sio South Africa.Huyu Ghadafi alisaidia Idd Amin,mwislamu mwenzake dhidi ya nchi yetu,period!!!You know Amin aliishia Saud kwa waislamu wenzake.

Nafikiri Nyerere angekuwepo leo,huyu Ghadafi asingetoa huu msaada .Anataka kuinfluence Tanzania na Uislamu wake.EPA walizoiba mafisadi na wahindi ,zinatosha kabisa kuwasaidia wananchi.Be real man!

Unajua msikiti wa Butiama Nyerere alimwomba Gadaffi msaada?Na Gadaffi akaotoa msaada huu kwa mwalimu?
 
Watu wamemsifu Ghadaffi kwa kusaidia Tanzania (mafuriko).Tukumbuke huyu jamani alimsaidia Muislamu mwenzake Idd Amin Dada alipovamia Tanzania.Tangu siku hizo sijamuamini kabisa.

Do you think kama Tanzania tungekuwa na uhusiano na state ya Israel angetusaidia?Kwa hiyo suala linakuja ,kwa nini nchi yetu mpaka leo,
tumeshindwa kuwa na ubalozi huko nchini Israel wakati walitoa mchango mkubwa sana katika ujenzi wa landmark buildings kama Kilimanjaro hotel etc?

Kwani huo ujenzi wao si tuliwalipa?

Na ukumbuke pia huwa wanabaki na kopi za structure kwani ukiingalia filam ya "The raid to Entebe", '90 minutes to Entebe' walitumia ramani ya ujenzi ambao ndiyo wao walikuwa wajenzi na kuondoka na mateka wao kule Entebe

Kwa hiyop ni watu wa kukuumbua kwenye usalama wa taifa ni waaribifu wajamaa hawafai.
 
What I can say is that all aids/grants donated by any country regardless is an islamic state or not has hidden agenda. You assist some one, then you expect returns, either direct of indirect, this is the fact. So if we are not happy to the assistance provided by Colonel Muamar qadaff, why are we happy to the assistances Provided by the USA?UK?GERMAN?SWEDE?NORWAY? What is important here is not to boycott it but we have to receive it and scrutinized the accompanied hidden motives
 
Kwani huo ujenzi wao si tuliwalipa?

Na ukumbuke pia huwa wanabaki na kopi za structure kwani ukiingalia filam ya "The raid to Entebe", '90 minutes to Entebe' walitumia ramani ya ujenzi ambao ndiyo wao walikuwa wajenzi na kuondoka na mateka wao kule Entebe

Kwa hiyop ni watu wa kukuumbua kwenye usalama wa taifa ni waaribifu wajamaa hawafai.

kwenye miradi yote strategic...kuna ujasusi wa vyombo vya nje...thats why sadam hussien miradi yake ya aina hiyo kama Bunker[undergrounds],state houses...,research centres etc.....alikuwa akibadili makandarasi na ramani hadi mara tao kwa mradi mmoja....hii ilifanya mashirika ya ujasusi hatari kama MOSAD,CIA,M15,KGB etc...Yote yalikuwa hayana ramani kamili ya maeneo strategic ya IRAQ...na ndio maana aliweza ku survive vita mbili na matukio kadhaa ya assasination...kabla ya kuja kupinduliwa na majeshi ya uvamizi...

sadam alienda mbali zaidi kwa kuandaa assasination....kupitia majasusi wa kukodi...kuwauwa baadhi ya ma designer [achitects]...waliomchorea majengo yake muhimu....ili wasiuze michoro....hasa pale alipoona ugumu wa kubadili specifications kwenye baadhi ya majengo au bunkers.....

hii ni tofauti na hapa kwetu...kampuni zinazopewa kazi ya miradi nyeti hatuna uwezo wa kuwafanyia hivyo au hata hatuna uwezo wa kujenga wenyewe miradi nyeti kama ukarabati au ujenzi wa ikulu zetu nchini...au majengo ya SIRI kwa kutumia wajenzi wa jeshi ie SUMA bila kuleta ma conultants wa nje ...kama inavyotokea kwenye ukarabati wa ikulu zetu unaoendelea.....mara zote wamejaribu kutumia JKT lakini unakuta kuna makampuni ya wazungu pia...yapo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom