Kamzaba mkewe kibao! kisa?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Jamaa kaja juu kwa sababu mke wake kamwambia ati anamuonea na kumfuatafuata kama "ana wivu wa kike". jamaa akamzaba kibao mkewe maskini.. baada ya kutulizana nikataka kujua kwanini jamaa kakasirika sana kuambiwa ana "wivu wa kike" kwani kuna tofauti gani kati ya 'wivu wa kike' na 'wivu wa kiume'? Kuna mtu anaweza kutusaidia kutufafanulia wivu wa kike uko je hasa kiasi kwamba uonekane ni kama tusi la aina fulani hivi?
 
Hakika hata ningekua mimi ningefanya kama alivyofanya huyu jamaa,...mimi mwanaume ninawivu wa kiume na mwanamke ana wivu wa kwake_hii ni kama kuingilia mambo ya kike ambayo ni jinsia ingine...period
 
Mimi nafikiri tatizo sio kuambiwa una wivu wa kike, tatizo ni ile dharau aliyoipata kwa mkewe na kulinganishwa na mwanamke!. Hayo ni mawazo yangu, ngoja wenyewe wajisemee...............
 
  • Thanks
Reactions: jcb
hahahaha MMK umenikumbusha hii kauli aliwayi kuitoa kama si Mzee Msekwa ni Mzee Mkapa alisema "Watanzania wana Wivu wa kike" Lol
 
wivu wa kike ni wa kumtakia mwanaume mema zaidi ktk kudumisha ndoa yake, wivu wa kiume hauelezeki maana hautabiriki
 
Mimi nafikiri tatizo sio kuambiwa una wivu wa kike, tatizo ni ile dharau aliyoipata kwa mkewe na kulinganishwa na mwanamke!. Hayo ni mawazo yangu, ngoja wenyewe wajisemee...............
hapo kwenye RED kuna tafsiri nyingi aisee!
 
hahahaha MMK umenikumbusha hii kauli aliwayi kuitoa kama si Mzee Msekwa ni Mzee Mkapa alisema "Watanzania wana Wivu wa kike" Lol

Nakusalimu tu mkuu.............

BTW...kwani wewe ningekuambia hivyo ungenizaba kibao?...:)
 
Jamaa kaja juu kwa sababu mke wake kamwambia ati anamuonea na kumfuatafuata kama "ana wivu wa kike". jamaa akamzaba kibao mkewe maskini.. baada ya kutulizana nikataka kujua kwanini jamaa kakasirika sana kuambiwa ana "wivu wa kike" kwani kuna tofauti gani kati ya 'wivu wa kike' na 'wivu wa kiume'? Kuna mtu anaweza kutusaidia kutufafanulia wivu wa kike uko je hasa kiasi kwamba uonekane ni kama tusi la aina fulani hivi?

Mkuu ukitaka kujua tofauti zake we muulize mkuu wa bunge la nchi yetu aliyekuwepo kabla ya bwana SIX. Nini kilimpata kipindi kile mara tu baada ya kupewa ubosi katika kampuni moja ya mawasiliano hapa nchini....Nina hakika utakuwa unakumbuka.
 
Jamaa kaja juu kwa sababu mke wake kamwambia ati anamuonea na kumfuatafuata kama "ana wivu wa kike". jamaa akamzaba kibao mkewe maskini.. baada ya kutulizana nikataka kujua kwanini jamaa kakasirika sana kuambiwa ana "wivu wa kike" kwani kuna tofauti gani kati ya 'wivu wa kike' na 'wivu wa kiume'? Kuna mtu anaweza kutusaidia kutufafanulia wivu wa kike uko je hasa kiasi kwamba uonekane ni kama tusi la aina fulani hivi?

Mwanamke alikosea kumwambia ana wivu wa kike hata ningekuwa mimi ningemdunda
 
Hakika hata ningekua mimi ningefanya kama alivyofanya huyu jamaa,...mimi mwanaume ninawivu wa kiume na mwanamke ana wivu wa kwake_hii ni kama kuingilia mambo ya kike ambayo ni jinsia ingine...period
Mkuu unaunga mkono domestic violence? utajisikiaje kama aliyebondwa ni dada yako,will you take it?
 
Mwanamke alikosea kumwambia ana wivu wa kike hata ningekuwa mimi ningemdunda
Chonde chonde Fidel,waoneeni huruma kinamama,wao sio gunia la mpunga kwamba unawadunda ili upate mchele,ni binadamu ati kama wewe,na kumbuka usilotaka ufanyiwe wewe katu usimfanyie binadamu mwenzio.
 
Jamaa kaja juu kwa sababu mke wake kamwambia ati anamuonea na kumfuatafuata kama "ana wivu wa kike". jamaa akamzaba kibao mkewe maskini.. baada ya kutulizana nikataka kujua kwanini jamaa kakasirika sana kuambiwa ana "wivu wa kike" kwani kuna tofauti gani kati ya 'wivu wa kike' na 'wivu wa kiume'? Kuna mtu anaweza kutusaidia kutufafanulia wivu wa kike uko je hasa kiasi kwamba uonekane ni kama tusi la aina fulani hivi?

Kwa yeyote atakae kwazika naomba in Advance anisamehe....

Wivu wa Kike...

Tokana na tamaduni zetu ambazo zilikua mfumo dume... ilifanya wanawake kazi zao mara nyingi ziwe za kijamii zaidi (sijui niseme za kifamilia??) shughuli kubwa ilikua kushinda nyumbani akifanya akihandle nyumba kama kupika na usafi wa home related (deki, vyombo, kufua).. na baada ya hapo kujikuta hawana shughluli zaidi ya kukaa kijiweni wakisukana nywele na kupiga soga - Soga ambazo mara nyingi zilikua nimelenga kuzungumzia habari za watu wengine... Hayo mazungumzo mara nyingi huwa base on Chuki na Wivu - Wivu ambao hutakana na kuzidiana katika mambo kama uzuri, kupendwa na opposite sex, nailing mwanaume wa maana na mambo mengine kibao....

It should be noted kua sasa hivi ulimwengu umebadilika na wivu wa kijinga kwa kiasi kikubwa unapungua thou bado kuisha.... Hivo basi traditionally inajulikana mwanamke ana wivu wa kijinga sababu tu sio Wivu ambao ni constructive....

Wivu wa Kiume...

Kama nilivoeleza hapo juu basi ni vise versa kwa wanaume... Wengi walikua/wanaji shughulisha na mambo ya maendeleo katika jamii... kama vile kusoma... Hio iliwapelekea kua na shughuli za kuajiriwa ama kujiajiri... na ilizoeleka hako nyuma wanaume ndio wapo sorely responsible taking care of the family (thou kuna conflicting schools of thot - tokana na kazi kubwa bibi zetu walifanya hasa za mashambani).. Wao mara nyingi ili/imeonekana hata wakizungumzia mwanaume mwenzao wanazungumzia maendeleo alonayo... Mtaji... Mafanikio - Hio kujenga wivu among wengi... Hivo wivu wao kuonekana kama ni wa Msingi na wa kujenga... Hivo mara nyingi pharase ya wivu wa Kiume ni ule wivu ambao unafanywa huku ukileta matunda fulanai...

However hata wao wamechange... wanaume wengi wamekua na mtindo wa kubweteka... Wakimzungumzia jamaa na mafanikio yake - wanaishia kusema kapata deal... Hivo nae anakaaa hapo kijiweni kusubiri deal ije badala ya kujishughulisha...

Note that Niloongea hapo sio Universal but in most cases according my opinion....
 
Mie Mzima mamito? IDD ndo ukanichinjia baharini sio?
Mamito kwa sura yako hiyo hata ukiniambia nini siwezi nyoosha mkono wangu kwako "u know what I mean"

Mhhhh!!.....I am humbled....!

Hapo RED...si nyie ndo mlisababisha ile sredi ikapelekwa nyumba kubwa ambayo mimi sina funguo zake...mhhhh....nikabaki nashangaa tu.....:sad:
 
Kuambiwa una wivu ni jambo moja lakini kuambiwa una wivu wa kike huyo mtu kakutusi.
 
Kwa maana rahisi ni kwamba mambo yako yote ni ya kike kike.Kwa hiyo ndo maana jamaa alikasirika sana.
 
Mhhhh!!.....I am humbled....!

Hapo RED...si nyie ndo mlisababisha ile sredi ikapelekwa nyumba kubwa ambayo mimi sina funguo zake...mhhhh....nikabaki nashangaa tu.....:sad:
Mods siku ile sijui kwa nini walitupeleka kule bana au ndo huo "Wivu wa kike" lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom