Kamwe usikubali rafiki au ndugu aliyefilisika awe sehemu ya maisha yako

Watu waliofilisika ndiyo wa kuwa nao sasa ila kwa akili.

Kufilisika ina maana kwa wakati fulani alikuwa nazo sana. Anajua chocho za namna mbalimbali. Ana connection na watu watakaokusaidia. Kaa naye,msikilize.

Akupe muongozo. Akuambie kafeli wapi na kwa sababu gani. Alafu chagua cha kwenda nacho. Utapata somo la kukuvusha.

Kila kheri.

Mzee, are you sure!?
 
Kuna mtu aliyefilisika akaanza kuonyesha ukaribu na wewe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom