DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Kamwe usiruhusu vitu au watu kukuumiza moyo wako kila muda.
Maisha ni mafupi mno kuwa na huzuni kila mara. Kila siku mpya inayokuja ni zawadi kutoka kwa Mungu. Hivyo basi, ishi huku ukifurahia hii tunu ya kipekee kabisa
Jiondoe katika yale mambo yanayokukosesha amani na furaha. Wakiwemo na wale wapumbavu wanaokuchukulia poa..Wewe ni mshindi..unastahili yaliyo bora, kuliko zawadi ya maumivu unayopewa kwa sasa.
Thiredi hii ni maalumu kwa wote wanaoteswa / waliowahi kuteswa kwenye mapenzi, najua wahanga mko wengi/tuko wengi.
♀♀♀♀♀