Kamwe usijaribu kumng’ang’ania mwanamke anayeonekana hakuhitaji tena, utaumia

I second u, naumia zaidi sababu tuna mtt na nampenda kuliko kitu chochote na amekuwa so emotional baada ya kugundua baba yake sipo sawa, ukweli ni kwamba ameshindwa kubalance btn new love na mtt amemuweka pembeni am not oky with that as mtt anapata mateso ambayo hastahili,

I know hajafata chochote huku zaidi ya mapenz ambayo mm may be nimeshindwa kuonesha ila namuonea huruma kiumbe huyu wangu wa pekee as i have to move on with my life as am broke na nimeharibu mpaka kazi yangu



Fanya mchakato umchukue mtoto kama unauhakika ni wako.

Mbona inawezekana tu au huna ndugu au walezi wa kukulelea?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom