Kamwe sitomsahau huyu mama aliyeninunulia chakula pale babati(HOTEL) nilipokuwa natoka Dodoma to Arusha

Sasa mwamba ulituangusha sana wadau,yaani katika Iphone ulishindwa hata kupiga jicho ukajua social media anatumia jina gani.Kuna watu hata usipopata namba ila ukiexpose tuu screen ya simu basi atachukua hata jina la facebook,twitter or instagram,telegram,BADOO n.k
 
Wewe ulimpenda na hali ya maisha imekubana na ajira hakuna ndio unamkumbuka ili akulee kama kiben10!Vijana hangaikeni bila kuchagua kazi!
Ulipotaja tu IPhone nikajua umemkumbuka kutokana na shida zako!

😂🤣😂🤣 we jamaa usipokuwa nabii basi mbingu utaiona tu kwenye movie ... jinga kabisa
 
Sasa mwamba ulituangusha sana wadau,yaani katika Iphone ulishindwa hata kupiga jicho ukajua social media anatumia jina gani.Kuna watu hata usipopata namba ila ukiexpose tuu screen ya simu basi atachukua hata jina la facebook,twitter or instagram,telegram,BADOO n.k
mwanangu nilikuwa namawazo sana hadi nikasahau kuchukua namba ya simu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom