Kamwambia alimuacha mkewe kwa kuwa haoni "future" kwake na hampendi

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,112
Habari wana MMU,

Kuna mwanaume amekuwa na mahusiano na ndugu yangu kama mchepuko kwa miaka mitano. Kipindi hicho chote mke wa huyo mwanaume alikuwa anajua na kulikuwa na migogoro sana kwenye ndoa hiyo sababu ya huo mchepuko.

Lakini mwanaume alikuwa anafanya kila jitihada kumlinda mchepuko na kudai anampenda kuliko mkewe na ndio ameona kuwa mwanamke wa future yake ilcha ya kutoka mbali na mkewe. Katika maisha yake alikuwa kazaa watoto wawili na mkewe na wameishi miaka kumi.

Sasa miezi kadhaa mchepuko alitoa condition kua kama anapendwa mwanaume amuache mke wake ili amuoe yeye, mwanaume kamuacha mke wake karibu miezi miwili sasa na anataka kwenda kwao kujitambulisha licha ya kua hatakiwi kabisa kwenye familia ya mchepuko.

Sasa cha ajabu bado anawasiliana na mkewe na mke akibip tu yeye anapiga na wanaongea vizuri tu, sasa ni kweli hampendi au wamepumzishana tu, ila baadaye watarudiana maana walikuwa wamefunga ndoa na mwanamme kadai hawezi toa talaka kwa mkewe maana wao sio maadui.
 
Sasa wewe unataka nini hapo wakati umeshasema wamezaa watoto wawili so unataka mama wawatoto wake akibip asipigiwe. Ama kweli adui wamwanamke nimwanamke mwenyewe.

Nauenda huo mchepuko niwewe hapoo
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Sasa wewe unataka nini hapo wakati umeshasema wamezaa watoto wawili so unataka mama wawatoto wake akibip asipigiwe. Ama kweli adui wamwanamke nimwanamke mwenyewe.

Nauenda huo mchepuko niwewe hapoo
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Back
Top Bottom