Kamusi ya TUKI: Kiingereza - Kiswahili/ Kiswahili - Kiingereza

C6 asante kwa kifikisha info huku. Jamani msiache kudownlaod hii kamusi ni nzuri sana

1ciLnj.gif



DOWNLOAD NOW
 
Last edited by a moderator:
Nawashukuru sana wana JM kutusaidia kupata hizi software mbarikiwe.nina ombi kwenu na omba mnisidie kuipata software ya bible ya kiswahili hata english ikiwezekana
 
Mambo vipi waungwana,naomba kama kuna mtu ana Dictionary ya kiingereza yaani English to Swahili au Swahili to English anisaidie nilikuwa nayo kwenye Computer yangu baada ya kui-format imekuwa kati ya vitu viliyoishia.

9c04ba32e5124d78cbc9a53affa69769.jpg


Useful English to Swahili - Swahili to English Translator with audio.

Baada ya ku translate Inasoma "translated words" kwa sauti.

Kwa Kiswahili na kwa Kiingereza.

Download it in the google play store here:

English to Swahili Translator - Android Apps on Google Play
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom