Asante mkuu.Mtihani huo ndugu yangu, hardcopy zipo kedekede.
Elfu ,25, ni Kamusi ya TUKI, Kiingereza kwenda Kiswahili. Wauzaji ni BAKITA wapo Makumbusho nyuma ya Jhpiego, Elite Bookstore Palm VillageAsante mkuu.
Wanauzaje hiyo Hard Copy
Asante sana mkuu.Elfu ,25, ni Kamusi ya TUKI, Kiingereza kwenda Kiswahili. Wauzaji ni BAKITA wapo Makumbusho nyuma ya Jhpiego, Elite Bookstore Palm Village View attachment 1743812
Pia zipo maeneo tajwa kwenye post ya kwanza, japo bei sina uhakika nazo.Asante sana mkuu.
Mimi nilitaka ya kiswahili kwa kiswahili
Nitumie na mmMkuu!
Vipi ulifanikiwa kupata ile Kamusi ya Kiswahili / kingereza?
Kama bado hujapata -nimekutumia link kwenye PM soft copy idownload!
All the best!
Nitumie na mm
Msaada mwenye kujua maana ya "kutohoa" tafadhali
Asante sn maryIt's usually translated as "adapt" or "modify". In linguistics, when borrowing words from foreign languages, BAKITA uses the term "kutohoa maneno" meaning the adaptations in spelling, class (ngeli) and conjugation (unyambulisho) that are needed in order to use that word.
Kwa mfano, neno "store" la Kiingereza limetoholewa kwa Kiswahili kama "stoo", ikiwekwa katika ngeli ya i-/zi-. (Source: MobiTUKI Kamusi app).
Pakua/tumia APP YA KAMUSI TUKI HAPA Android+iPhone+Windows 👇 swahili-dictionary.com |
Mm nahitajiWanaJF wote
kama wale tunaopenda Kamusi ya TUKI Kiingereza-Kiswahili / Kiswahili-Kiingereza, inapatikana app ya bure inayofanya kazi offline (huhitaji data) kwenye simu na kompyuta za aina zote. Msihangaike tena na PDF ama soft copy hizo za zamani!
Pakua/tumia APP YA KAMUSI TUKI HAPA
Android+iPhone+Windows
👇
swahili-dictionary.com
Kwa kui-install, bonyeza menyu kwenye browser yako, kisha "Install app".
- App inafanya kazi offline. Ukiisha install, huhitaji kutumia MB tena.
- App hii ni bure kabisa.
- Haina matangazo (ads).
- Unaweza kupata vitomeo kwa kutafuta kichwa cha kitomeo ama vinyambuo vyake vyovyote (derivative words).
Kamusi ya TUKI ni kamusi kuu ya Kiingereza-Kiswahili na Kiswahili-Kiingereza. Imetengenezwa na wataalamu wa lugha wa Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI) University of Dar es Salaam, Tanzania.
Kamusi ya Kiswahili-Kiingereza:
Kamusi ya Kiingereza-Kiswahili:
- Ina vitomeo (entries) zaidi ya 15,000
- Inaeleza asili (etimolojia) ya maneno ya Kiswahili
- Ina mifano, misemo, nahau, vinyambulisho.
- Idioms and phrases
- Technical words
- Thousands of examples
- Variants for British, American, Australian and South African English.
Some screenshots:
View attachment 1946383View attachment 1946384View attachment 1946388
Mzigo wa uhakika huu hapa >>>>> MobiTUKI English-Swahili Advanced DictionaryMambo vipi waungwana,naomba kama kuna mtu ana Dictionary ya kiingereza yaani English to Swahili au Swahili to English anisaidie nilikuwa nayo kwenye Computer yangu baada ya kui-format imekuwa kati ya vitu viliyoishia.
uko wapi mzungu mbona hutumiWanatovuti wapendwa:
Mimi mzungu wa Ireland nimetunga Kamusi ya kwangu ambayo jina lake ni "Istilahi ya Ngamizi".
Nimerejea vyango vingi kukusanya msamiati unaofaa. Ujumbwe nimezisoma hapa kwenye tovuti hii asubuhi leo uliniduwaa kwa sababu ya kuwepo kwa maneno ya Kiingereza k.m download, link na kadhalika.
Maneno hayo yananiaibisha. Tafadhali tutumie Kiswahili inayopatikana kwa urahisi ila tufanye jaribio zaidi kuwa makini. Ikiwa wataka nakala ya Kamusi yangu hiyo ya Ngamizi (Tarakirishi) ieleweke kwamba hakina ithibati wala sijapata ruzuku kutoka kwingeneko kufanya kazi hiyo.
Matumaini yangu ndio kuwatolea wapendao Kiswahili cha kisasa ili pamoja tuboreshe hali ya kilugha hasa kwenya fani ya kingamizi. Nitafurahi ikiwa makosa yote kamusini yanifikishe ili nafaidi nafasi ya masahihisho baadaye!
Nitumie anwani ya pepe nikutumie kamusi. Ya kwangu ndio: klfmzungu@gmail.com
Asante.