muima JF-Expert Member Jul 30, 2014 276 66 Aug 12, 2020 #1 Habari za jioni wanaJF, Maomba connection ya kampuni zinazojishughulisha na kutoa mkopo ya vifaranga na chakula Cha kuku kwa wafugaji wadogo. Asanteni.
Habari za jioni wanaJF, Maomba connection ya kampuni zinazojishughulisha na kutoa mkopo ya vifaranga na chakula Cha kuku kwa wafugaji wadogo. Asanteni.
monopoly inc JF-Expert Member Dec 20, 2016 5,265 11,302 Aug 13, 2020 #3 Hawakopeshi ila wanataka wewe ndio uwapelekee pesa wakufugie akina mr kuku
muima JF-Expert Member Jul 30, 2014 276 66 Aug 13, 2020 Thread starter #4 monopoly inc said: Hawakopeshi ila wanataka wewe ndio uwapelekee pesa wakufugie akina mr kuku Click to expand... Haha mkuu natamani kufuga kwangu sio wanifugie ʘ‿ʘ
monopoly inc said: Hawakopeshi ila wanataka wewe ndio uwapelekee pesa wakufugie akina mr kuku Click to expand... Haha mkuu natamani kufuga kwangu sio wanifugie ʘ‿ʘ
muima JF-Expert Member Jul 30, 2014 276 66 Aug 13, 2020 Thread starter #5 Kashaulo said: Mr kuku FARM! Click to expand... Wale hapana mkuu, me nataka nikafuge mwenyewe sio wanifugie.
Kashaulo said: Mr kuku FARM! Click to expand... Wale hapana mkuu, me nataka nikafuge mwenyewe sio wanifugie.