Kampuni zinazofanya shipment za bidhaa Tanzania

keen salva

Member
Apr 8, 2017
73
21
Habari wadau,

naombeni msaada wa kampuni zinazofanya shipment za bidhaa kutoka nje zinazo agizwa kwa njia ya mitandao mfano Ebay! n.k
 
tafuta uzi wa kuagiza bidhaa toka njee... Mwl. RCT atakusaidia...
 
Wako wapi hiyo kampuni?
wako marekani unachofanya Una register kwao watakupa address ya marekani ambako ukinunua mzigo utapelekwa haswa kwa bidhaa ambazo wauzaji hawaleti tz kama unatumia eBay nadhani ushakutana na bidhaa za hivyo then hawa comgetway wanakutumia wewe tz,nilishafanya na mzigo ukafika within a week
 
Back
Top Bottom