Kampuni za UWAKALA wa Ajira (Employment and Recruitment agencies)

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Habari wa ndugu.
Naomba mnisaidie kuhusu hizi Kampuni kama zipo na msaada wake kwa jamii/ wanaotafuta Ajira au waajiri.
Je zinaendeshwaje na kuhakikisha watu hawatapeliwi? Mwenye ushuhuda wa kupata ajira kupitia Kampuni hizi, anisaidie kujua alifanyaje.
Ahsante sana.
 
kampuni zipo mkuu EROLINK. INFIRNITY COMMUNICATION. ENRICH. SHUGHULIKA. HR SOLUTIONS. NFT. RADAL RECRUITMENT . EMPOWER. PEOPLE POWER. JOB CONNECT. HUMAN CAPITAL. yani zipo laki moja kidogo kutimia laki 2. hiz coy zina sifa tofauti tofauti ikiwemo viwango vya unyonyaji. kupata ajira ni easy just peleka tu cv zako hapo kwene coy za kutosha then kuna siku utakuta kilonga kinaita wanakuambia kuna usaili.
 
Nilishawahi kupata kazi bank kwa kutumia kampuni moja inaitwa Prospect Africa na kulikuwa hakuna unyonyaji wala longolongo wala kubebana it was straight ........sijajua hizo zingine
 
Je kuna ada yoyote inalipwa wakati wa kupeleka CV zako? Je ni ipi nafasi ya kampuni uliyotumia kutafutia kazi mara baada ya kupata ajira?
Ahsante sana kwa mchango wako.
 
Mkuu funguka kidogo. Ilikuwaje, yaani process nzima ilifanyikaje hadi wewe kupata ajira na je wakala alihusije baada ya wewe kupata hiyo ajira au mahusiano yanakuwepo tu wakati wa kutafuta ajira na baada ya kupata kazi ni wewe tu na mwajiri wako?
Ahsante sana kwa mchango wako.
 
Radar Recruitment ndio ya ukweli katika Agency zote zilizopo bongo... na hakuna malipo wala makato yoyote yale.

Je kuna ada yoyote inalipwa wakati wa kupeleka CV zako? Je ni ipi nafasi ya kampuni uliyotumia kutafutia kazi mara baada ya kupata ajira?
Ahsante sana kwa mchango wako.
 
Nilishawahi kupata kazi bank kwa kutumia kampuni moja inaitwa Prospect Africa na kulikuwa hakuna unyonyaji wala longolongo wala kubebana it was straight ........sijajua hizo zingine
Mkuu funguka kidogo.Process nzima ilikuwaje hadi wewe kupata ajira na je kuna ada yoyote unayolipa ili kutafutiwa kazi?
Je kampuni uliyotumia kutafutia kazi,inahusika tena baada ya wewe kupata ajira au inakuacha wewe na mwajiri wako tu?
Ahsante sana kwa mchango wako.
 
Radar Recruitment ndio ya ukweli katika Agency zote zilizopo bongo... na hakuna malipo wala makato yoyote yale.
Kama hawana makato wala malipo yoyote, inaendeshaje ofisi zake?
Funguka kidogo mkuu.
Ahsante kwa mchango wako.
 
Je kuna ada yoyote inalipwa wakati wa kupeleka CV zako? Je ni ipi nafasi ya kampuni uliyotumia kutafutia kazi mara baada ya kupata ajira?
Ahsante sana kwa mchango wako.

ni bure mkuu we unapeleka tu hapo cv yako. baada ya kupata ajira c mnagawana mshahara mkuu hebu nenda erolink uone mkuu
 
Mkuu funguka kidogo.Process nzima ilikuwaje hadi wewe kupata ajira na je kuna ada yoyote unayolipa ili kutafutiwa kazi?
Je kampuni uliyotumia kutafutia kazi,inahusika tena baada ya wewe kupata ajira au inakuacha wewe na mwajiri wako tu?
Ahsante sana kwa mchango wako.

Kulikuwa hakuna ada yoyote kwa upande wangu maana hata nilipowafuata kujua kama kuna chochote natakiwa kutoa waliniambia wao wanamaliziana na mwajiri wangu .... na baada ya hapo mimi na wao tulikuwa hatuna deal tena nilibaki mimi na mwajiri wangu.....

Process ni kwamba nilituma CV kwao wakaniita kwaajili ya interview then mwajiri akaniita kwa ajili ya interview tena ya mwisho then I got the job
 
Pia Hongera kwa kupata kazi bila usumbufu mwingi.
 
Access za hzi kampun vp? Au online maana wenye shda tupo wengi jamani!

mkuu ni vizuri ukapeleka cv kwa mkono kwa office. radal hawapokei cv ingia kwene web yao fanya registration then kama wametangaza kazi unaapply. sometimes wanakupigia cm tu kama kuna nafas inakufaa.
 
Back
Top Bottom