Kampuni za mawasiliano Tanzania zina magumashi

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,718
Siku zote sisi tunakuwa washika mkia na mkia kwenye mambo fulani fulani .
Kwa nini
Kampuni za mawasiliano uchukua mda mrefu sana kufata matakwa na teknolojia za mawasiliano ili kukwepa gharama kwa mda fulani,mfano mpaka sasa matumizi ya 3g kwenye mawasiliano bado hatujamaliza kiujumla.kwa kuwa imekuwa na longolongo labda kwa mjini angalau.

Teknolojia ya 4g imekuja na bado inamda mfupi sana lakini tanzania mfumo wa 4g umebaki kama nembo cha kwanza cha pili Ussd code kwa 4g wameshindwa hii upelekea kama unaongeza salio ukutoa kwenye njia ya 4g kwa maana wanatumia mfumo ule ule huku wakikusanya pesa za watu kama vichaa.

Mifumo ya 4g kwa tanzania ni matangazo tu kwenye simu

Je 5g ndo litakuja jina maana pale kwenye mnara wanaweza kukwambia 5g kumbe jina na vifaa vya 4g hakuna vilivo weka
Hii TCRA waliangalie kwa kweli
IMG_2248.png
 
Back
Top Bottom