Kampuni za digital ni zipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampuni za digital ni zipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JAYJAY, Mar 25, 2011.

 1. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,493
  Likes Received: 823
  Trophy Points: 280
  jana alhamisi nilisoma gazeti moja likiikariri mamlaka ya mawasiliano kuwa imeryhusu kampuni tatu kuagiza ving'amuzi ambavyo vitatumika pale mfumo rasmi wa analogi utakapofungwa rasmi desemba 2012 ambapo bila ving'amuzi mtumiaji hataweza kupata matangazo.pia wamezungumzia kuhusu kuanzisha maabara ya kupima ubora wa ving'amuzi. nina maswali kadhaa kuhusu hili:

  1. ni kampuni zipi(majina yao) ambazo zimepewa haki hizo?

  2.je hakuna vifaa(tv) ambazo zina ving'amuzi kwa ndani( in-built) ambavyo mteja anayenunua sasa au wakati ujao angeweza kushauriwa kununua ili asilazimike kununua ving'amuzi baadae?kama vipo kwa nini wasizuie uagiza wa vifaa(analogue tv) ambavyo vinalazimisha ununuaji wa ving'amuzi ili kumsaidia mwananchi?

  3.vipi kuhusu kusimamia gharama ili mwananchi asiumizwe? maana hii ni biashara pia.

  4.nini wajibu mwingine wa makampuni hayo?
   
 2. NEGLIGIBLE

  NEGLIGIBLE JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  NINAVYOJUA MIMI KAZI MSINGI YA KING'AMUZI
  NI KUKUWEZESHA KUONA CHANNELS NYINGI PAMOJA NA ZILE ZA KULIPIA(PAYSTATIONS) NA SIO KUBADILISHA MAWIMBI YA ANALOGIA KUWA DIGITAL,MFANO MZURI WA VING'AMUZI NI VILE VYA DSTV,TIN AU VILE VYA TBC..................ZIPO TV AMBAZO NI DIGITAL NA HUTALAZIMIKA KUWA NA KING'AMUZI ILI UWEZE KUONA CHANNELS,NA HATA HIZI TV ZA KAWAIDA ZA ANALOGIA ZINAWEZA KUBADILISHWA NA KUWEZA KUPOKEA MAWIMBI YA DIGITAL KWA KUONGEZA KIFAA KIDOGO NA NI KAZI INAYOWEZA KUFANYWA NA FUNDI WA KAWAIDA WA ELETRONICS KWA GHARAMA NDOGO TU,SINA UHAKIKA INAWEZA KUGHARIMU KIASI GANI......................KWA HIYO UZURI WA VING'AMUZI NI KUWA KAMA UNA TV YA ANALOGIA UNAWEZA KUONA MAWIMBI DIGITALI NA WAKATI HUO HUO UKAONA CHANNELS NYINGI AMBAZO HATA UKIWA NA ANTENAE YA KAWAIDA NA HATA DISH HUWEZI KUONA...LAKINI UBAYA WAKE NI KUWA UTAHITAJIKA KULIPIA KILA BAADA YA MUDA FULANI,WENGI WANATOZA KWA MWEZI................KILICHOPO HAPA NI BIASHARA,WASAMBAZA VING'AMUZI HAWAWEZI KUKWAMBIA KUWA KUNA TV ZA DIGITAL.........'Caveat emptor'
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Majina ya makampuni hayo ni;
  1.Star Media
  2.Agape Asociate ltd
  3. IPP media

  Na hakuna ving'amuzi bult in(kwa sababu za kibiashara nakimaslahi zaidi).
  Kwa wote wengine ambao wana ving'amuzi mbali na vya makampuni hayo hawatokuwa na uwezo wa kupata local channel yeyote ile hata utumie antena ya miba ya samaki.
   
 4. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  'Miba ya samaki' Nimeipenda hiyo. Na kweli ukiangalia hizo antenna utadhani ntu kala sanaki halafu miba katundika kwenye paa. Ha ha ha.
   
 5. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Usiwatishe wenzio wewe!
   
 6. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #6
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Umesahau EASY TV.

  Kwa maelezo zaidi, waone TCRA - tembelea tovuti yao, TCRA|Tanzania Communications Regulatory Authority - kisha utume EMAIL uwaulize, utajibiwa.
   
 7. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red mkuu vipi kuhusu ving'amuzi vya FTA?
   
 8. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Hii aipo makampuni ni matatu tu!
  kama yalivyotajwa hapo iula hiyo IPPmedia sio jina lake kwani hiyo ni partnaship ya IIP MEDIA na STAR TV wanajina lingine nimesahau
   
Loading...