Kampuni ya YÜTEK ya Uturuki yasaini mikataba ya ujenzi wa meli

Angekuwa yule bwana wa " umetuletea bil.417" kama haitoshi umeamua kusainia mikataba Mwanza,nani kama mamaaaa
 
Waturuki Tena?
SGR Moro km 190 mwaka wa tano huu, teknolojia ya 21st century.
Really.
Na bado hawana mpango wa kumaliza.
Turkey is just like Zimbabwe or Burundi.
Tumelisikia ombi lako...tutawaleta wachina
 
Inaonesha zitakuwa ni meli kubwa....

je tuna bandari huko kwenye maziwa za kuweza kuhudumia meli za ukubwa hu?
 
Angekuwa yule bwana wa " umetuletea bil.417" kama haitoshi umeamua kusainia mikataba Mwanza,nani kama mamaaaa
Mwanza oyee
Huku SGR, kule daraja la busisi, hapa upanuzi uwanja wa ndege ambao zaidi ya 90% umekamirika, ziwani meli zinazidi kujengwa, nk. Hakika Mwanza inazidi kushamili na kustawi.
 
Tumelisikia ombi lako...tutawaleta wachina
When are you going to employ your local engineers? I am made to believe a lot of them are jobless.
Why use foreign engineers when you are using local funds?
Kuna mainjinia Tanzania wataingia kaburini hawajatumika, nchi kila siku "foreign engineers" wenu mnawa train wa Nini??
 
When are you going to employ your local engineers? I am made to believe a lot of them are jobless.
Why use foreign engineers when you are using local funds?
Kuna mainjinia Tanzania wataingia kaburini hawajatumika, nchi kila siku "foreign engineers" wenu mnawa train wa Nini??
Tumefungua nchi ..have you forgotten?
 
15 June 2021
Mwanza, Tanzania

Rais Samia anashuhudia utiaji saini mikataba 5 ya ujenzi na ukarabati wa meli Shilingi Bilioni 417.



Source: ITV TANZANIA

Rais Samia Suluhu Hassan ashuhudia utiaji saini mikataba 4 ya ujenzi wa meli mpya na mmoja wa ukarabati wa meli . Mheshimiwa Rais amefarijika kuona kazi inaendelea ya kuifanya Mwanza na ukanda wa ziwa Victoria kuwa kitovu cha uchumi kwa maeneo ya Afrika Mashariki na pia nchi za Maziwa Mkuu za Burundi, Rwanda pamoja na Mashariki ya DR Congo.
  1. Meli ya mizigo uwezo tani 3000 ya kubeba mabehewa (wagon ferry) kukatiza ziwa Victoria
  2. Meli ya abiria uwezi watu 600 na tani 400 ziwa Tanganyika
  3. Meli ya mizigo uwezo tani 2800 ziwa Tanganyika
  4. Meli uwezo tani 2800 ya mizigo katika bahari ya Hindi
  5. Wakati meli ya MV Umoja iliyopo ktk ziwa Victoria ukarabati wake utafanywa na Kampuni toka South Korea.
Shughuli hiyo ilifanyika Leo Mwanza Tanzania ambapo wizara ya Ujenzi kwa niaba ya MSCL Kampuni ya Huduma za Meli Tanzania na Yücel Tekin Shipbuilding Company YÜTEK kampuni toka Uturuki zilisaini mkataba wa thamani ya dola za kimarekani US$180 million sawa na shilingi 417,240,000,000.

Katika hafla hiyo balozi wa Turkey nchini Tanzania, Mhe. Dr. Mehmet Güllüoğlu alikuwa miongoni mwa wageni wengi waliohudhuria shughuli ya utiaji mkataba baina ya mkandarasi wa ujenzi wa meli toka kampuni ya YÜTEK ya Uturuki na wizara ya Ujenzi ya Tanzania.

News in English :
15 June 2021
Mwanza, Tanzania


YÜTEK signed 4 new shipbuilding contracts with the Ministry of Transport of Tanzania​

yutek_5.jpg


Yücel Tekin Shipbuilding Company (YÜTEK) signed a new shipbuilding contract to build 2 general cargo, 1 passenger and 1 wagon ferry ship to be built for the Ministry of Transport of Tanzania. It was learned that the cost of the project was 180 million dollars.

The Turkish shipbuilding industry signed 4 new shipbuilding contracts to the Tanzania Ministry of Transport within the framework of its African expansion.

YÜTEK Shipbuilding Industry Company signed a new shipbuilding contract to Tanzania Ministry of Transport to build 2 general cargo, 1 passenger and 1 wagon ferry ship. It was learned that the cost of the project was 180 million dollars.

Tanzania’s first female President Samia Suluhu Hassan participated in the new shipbuilding contract to be built under the auspices of the Tanzania Ministry of Transport. Mehmet Güllüoğlu and many guests attended.

It was stated that the design of the newly built ships will be carried out by Artı Mühendislik and 3 of the ships to be built by YÜTEK will be built in Tanzania and one general cargo ship will be built in Turkey.

It was stated that 4 new construction ships to be built for the Ministry of Transport of Tanzania will cost 180 million dollars, while it was stated that the ships to be built in Tanzania will serve in Lake Tanganyika and Lake Victoria.

FEATURES OF NEW BUILT SHIPS
Project.1:
3500dwt 100x17m Multi purpose Cargo vessel, operation area Lake Tanganyika. It will carry General Cargo in Cargo holds, Refrigerated and Normal 20″ Containers on deck, 2 25Tx17m Crane-mounted vehicles on the aft deck.
Project.2: 3500dwt 80x17m Multi purpose Cargo vessel, operation site East African Coast/Indian Ocean. General Cargo in Cargo warehouses, Refrigerated and Normal 20″ Container on the deck, 1 pcs. 25Tx17m Crane mounted, will carry vehicles on the aft deck. There will be an animal deck on the vehicle deck that will carry 65 cattle.
Project.3: 600 Passengers + 30 crew + 20 Vehicles + 80x17m Passenger Cargo ship with 400ton load capacity. Operation zone Lake Tanganyika.
Project.4: 124x17m Wagon Ferry with a capacity of 26 wagons. Operation area Lake Victoria

Source : YÜTEK signed 4 new shipbuilding contracts with the Ministry of Transport of Tanzania - News2Sea


Habari za ziada:

Soma jinsi mabalozi wanategemewa kuwezesha fursa kwa kutumia diplomasia ya kiuchumi
: Kuletewa Balozi mtaalamu wa Ulinzi wa Masuala ya Mitandao ni 'Diplomatic Gesture' ?

Naona wengine hawana barakoa
 
Mwanza oyee
Huku SGR, kule daraja la busisi, hapa upanuzi uwanja wa ndege ambao zaidi ya 90% umekamirika, ziwani meli zinazidi kujengwa, nk. Hakika Mwanza inazidi kushamili na kustawi.
Kwa hiyo hapo umeona ni Mwanza tuu? Tanganyika na Indian Ocean hujaziona meli?
 
UTURUKI NA CHINA ZASHINDANA AFRIKA MIRADI MIKUBWA

Turkey jockeys with China for influence in Africa​

From railways to diplomacy, Ankara looks to extend its geostrategic reach
https%253A%252F%252Fs3-ap-northeast-1.amazonaws.com%252Fpsh-ex-ftnikkei-3937bb4%252Fimages%252F7%252F3%252F3%252F2%252F13882337-5-eng-GB%252F20180511TurkeyAfrica1.jpg

Workers put the finishing touches on a railway in Kombolcha, in northern Ethiopia. The line is being built by Turkish contractor Yapi Merkezi. (Photo by Akihiro Sano)
AKIHIRO SANO, Nikkei staff writerMay 12, 2018 21:53 JST

ISTANBUL -- Much has been written in recent years on China's growing influence in Africa. But it has a challenger in Turkey, which, like China, is looking to expand its strategic and economic reach.

Turkish construction companies have recently bested Chinese rivals on big infrastructure projects, winning orders in Ethiopia and Rwanda. And Ankara has nearly as many embassies on the continent as Beijing.

Turkey, sitting astride Europe and Asia, will play an important role in the Belt and Road Initiative, which China hopes will forge stronger economic links between the two continents. Turkey has good relations with the emerging superpower, but that has not stopped it from competing vigorously with China in Africa.

Yapi Merkezi, a big Turkish construction company, has been building a 400km railway line in the Horn of Africa nation of Ethiopia since January 2015. The project "will change people's lives and contribute greatly to the fast-track development of Ethiopia," said Mustafa Ay, Yapi's deputy project manager in mid-February, as he stood in front of a bridge in the northern city of Kombolcha.

In 2012, Yapi won a $1.7 billion order to build the railway line, which features a 1,500 meter change in elevation, 51 bridges and 12 tunnels. Its competitors included state-run China Railway Group and China Civil Engineering Construction Corporation. The Istanbul-based company is due to complete the 270km first phase of the project for Ethiopia's national railway operator later this year.

https%253A%252F%252Fs3-ap-northeast-1.amazonaws.com%252Fpsh-ex-ftnikkei-3937bb4%252Fimages%252F_aliases%252Flarge_580%252F3%252F9%252F4%252F2%252F13882493-4-eng-GB%252F20180511TurkeySudan1.jpg
Turkish President Recep Tayyip Erdogan, left, is greeted by his Sudanese counterpart, Omar al-Bashir, at an airport in Khartoum, Sudan, in December 2017. © Reuters

Turkish contractors, when working abroad, have mostly stuck close to home, carrying out projects in the former Soviet Union, Middle East and North Africa. North Africa accounts for 80% of the roughly 1,300 projects that Turkish companies have completed on the continent over the half century through 2017. The projects were worth $65 billion in all, according to the Turkish Contractors Association.

As African economies have grown over the past decade, Turkish construction companies have seen significant growth in orders from countries south of the Sahara. Summa built a parliament building and a shopping mall in Equatorial Guinea and a convention center in Rwanda. In both cases it outbid Chinese competitors.

The Turkish government supports these efforts. "We would like to cement our relations in several fields, including the military, the defense industry and cultural areas, based on friendship and cooperation," President Recep Tayyip Erdogan said of Africa in late February. Erdogan is a frequent visitor.

Following a tour of Sudan, Chad and Tunisia in December 2017, Erdogan visited Algeria, Mauritania, Senegal and Mali, starting in late February. He signed agreements with those countries aimed at expanding trade and strengthening defense cooperation.

Erdogan, who faces criticism from the U.S. and Europe over his authoritarian rule and military intervention in Syria, is striving to expand Turkey's influence in regions such as Africa and Central Asia. Turkish Airlines, which is 49% government owned, flies to 52 African cities in 34 countries. Turkey has embassies in 44 African countries, up from just 12 in 2009, narrowing the gap with China, which has more than 50.

But China's African footprint is huge. Some of its projects on the continent are worth more than $5 billion apiece. At the 2015 Forum on China-Africa Cooperation Summit, Chinese President Xi Jinping pledged $60 billion over three years to fund projects in Africa. Turkey cannot match China's financial muscle.

But Chinese goodwill can have strings attached. The African Union headquarters in Addis Ababa, built by China as a "gift," was reportedly bugged.

Some African leaders worry about China's dominance in major infrastructure projects, and stipulations requiring that the structures be handed over to Chinese control if the recipient cannot repay the loans made to finance them. Turkey offers an alternative.

While Turkey jockeys with China for influence in Africa, it also shrewdly welcomes Chinese investment, including a project to make electric vehicle batteries in Turkey. Two of China's four largest banks operate in the country. Ankara is also seeking China's participation in a high-speed railway line that will link eastern and western Turkey, as well as help building a nuclear power plant.

Source : Turkey jockeys with China for influence in Africa
 
Hizi ni akili nyembamba kufikiria nyanja moja ya usafirishaji ina umuhimu kuliko nyanja zingine. Usafirishaji wa aina yoyote ile ni muhimu katika kuendeleza uchumi wa nchi, uwe wa ndege, meli, reli, barabara hata mwendo kasi.

Huwezi kusema meli zinamgusa mwananchi wa kipato cha chini kwasababu mkulima anazitumia kusafirisha mazao yake. Je ndege ambazo inatumika kubeba mazao ya mkulima na kuyapeleka mbali kwenye masoko ya nje na kuleta fedha za kigeni, haisaidii mkulima au mtu wa kipato cha chini?

Tanzania haijingizi kwenye biashara ya anga kwa kushindana na mashirika mengine makubwa ya ndege, Tanzania inatumia ndege zake kuchochewa mauzo ya bidhaa zake nje ya nchi, ikiwa pamoja na utali, madini, mazao, mifugo hata tiba.

Kwahiyo Air Tanzania inapeleka Bidhaa za watanzania nje kwa sasa? Ina ndege ya mizigo?
 
Tumelisikia ombi lako...tutawaleta wachina

MIKAKATI YA GEO STRATEGY NA GEOPOLITICS KARNE YA 21

Turkey na China wanacheza mchezo wa geostrategy, hivyo kuilinganisha na Zimbabwe au Burundi hatujafanya sahihi

Marekani inaamini ikiweza kushika hatamu ya njia za bahari itaweza kuendelea kutawala chumi ya dunia ndiyo maana imewekeza kijeshi kwa kuwa na manowari nyingi za kisasa baharini. Kwa kufanya hivyo Marekani imeweza pia kutawala biashara kwa meli za kiraia kutobughuzwa na mataifa uchwara au maharamia wa baharini.

China wao wanaamini nao wakitaka kuwa taifa tajwa lenye nguvu duniani ina amini kuwekeza ktk Silk Road (Belt and Road) inayojumuisha kuwekeza katika miradi ya miundo-mbinu katika reli, bandari na mabarabara duniani kote huku pia ikiimarisha jeshi lake kuweza kufuatilia madeni pale nchi nyonge ikishindwa kulipa itowe bandari zake kama 'Bondi' na hivyo China kuzidi kujiimarisha kutawala biashara duniani.

Uturuki nayo imezinduka na kukumbuka blanketi lake ya Ottoman Empire na kuanza kujitanua kwa kujiingiza kujenga ushawishi kupitia miradi ya miundombinu kote Afrika na Asia ya Kati ili ile njozi ya Ottoman Empire irejee katika dunia hii ya sasa. Chad, Ethiopia, Mali, Senegal, Tanzania n.k Uturuki imejiingiza katika miradi ya miundo-mbinu ya reli, vivuko pamoja na meli inaonekana ndiyo sehemu ya kuongeza ushawishi wake.

Three Geopolitical Theories and the “Belt and Road” Initiative By TengJianqun​

2018-11-07
Over the past hundred years, geo-politician have proposed three theories depicting how to control the world from geographical perspective: the "Sea Power" theory raised by Alfred Thayer Mahan from the U.S. believed those who controlled the sea would control the world; the "Heartland" theory raised by Halford John Mackinder from Britain believed those who controlled Eurasia would control the world; while the "Rim Land" theory raised by Nicholas John Spykmanfrom the U.S. believed those who controlled the rim land would control the world. Not long ago, the former White House strategic adviser Steve Bannon proposed that China's "Belt and Road" initiative embodied the three theories, intending to control the world by its promotion, and every country of the world should reject it and so forth. We must point out the tree geopolitical theories differ from the "Belt and Road" initiative fundamentally and cannot be mentioned in the same breath, as they are different in time and space.

I. The Three Theories Cannot be Compared with the "Belt and Road" Initiative
Outwardly, the "Belt and Road" initiative contains the three traditional geopolitical theories: the "Maritime Silk Road for the 21st Century" involves the long sea passages including those to Southeast Asia, while the "Silk Road Economic Belt" passes the Heartland depicted by Mackinder. If the "Belt and Road" initiative and the three geopolitical theories are observed from the historical and realistic perspectives, we will find out that the ratiocination made by the American elite conforms to neither historical track, nor realistic logic and future development trend. Now, let us discuss it from the perspectives of the times and technical development.

A. The geopolitical theories have a clear time-space imprint. The emergence and development of any theory as well as their impact on national decision and international relations are naturally concrete reflections of the time. Contentions for sea, land and rim land at different times and by different nations have attracted the attention of the geo- politicians. The end of the 15th century
witnessed the beginning of the age of great voyage, which extended the discussions of the geo-politicians to the seas. In the 17th century, theories relating to international trade, maritime navigation and freedom of the high seas emerged. At the end of the 19th century, the big powers would contend for geo-superiority with fire arms, or even waged wars. In the two world wars, geopolitical theories mushroomed, which related, to a large extent, with the scramble of spheres of influence by the belligerent states. Since the beginning of the Cold War, the U.S. and the Soviet Union established their military alliances respectively, with their contest extending from the land and sea to the outer space, thus giving birth to the "High Frontier" theory.

The birth and expansion of geopolitical theories have all closely related to the time. Before the Industrial Revolution, national strength of any country mainly came from its vast territories and large population, with the growth of social wealth depending heavily on agriculture and animal husbandry. If a state wanted to be powerful, it should build a strong army to obtain strategic regions by capturing new territories and conquering more people. The "Land Power" theory has emerged against a strong background of Agricultural Revolution. There were several wars before the First World War sweeping across Europe, all of which were intended to contest for the dominance of the land.

After the Industrial Revolution, the demand of capital for markets and resources has far exceededthe boundaries of a state, with capital accumulation becoming the major source of social wealth growth. As capital accumulation featured strong expansion in nature, the political leaders and business giants of the state began to pin their eyes on the world. The development of seafaring and ocean-going trade has encouraged the big powers to contend for new spaces. Big powers conquered more colonies and obtained bigger markets and more resources by controlling the sea power. Against such backdrop, maintaining control of sea passages has become the focus of contention by big powers, through which to consolidate and expand their overseas colonies and keep other powers from obtaining more markets and resources.

The Second World War redefined the geopolitical boundaries. The anti-colonial movement ragedlike a storm in the post Second World War era, with colonies striving for national liberation and independence becoming the main content of geopolitical studies. The "Three World Theory" proposed by Comrade Mao Zedong was broadly identified with by the international community. Coupled with the introduction of nuclear arms and missiles, the decision-makers of big powers dared not resort to forces easily to resolve disputes. During this period, the three geopolitical theories withdrew from the center stage, with the Cold War becoming the core content of geopolitical theories.

Since the world entering the 21st century, the process of political multi-polarization, economic globalization, social informatization and cultural diversification has accelerated. The age has gone far beyond simply the "convergence of geography and political power", connecting all the countries of the world closely together for good or ill. A British scholar pointed out, "geopolitics has manifested a new ideology……The views of the old geopolitics used to emphasize part of the territory, while the state concentrated on pursuit of the best interests. Even though this might lead to confrontation or a war, the tendency would rather remain as it was, as the old geopolitics focused only on space and power as well as their relations." "The views of the new geopolitics are global, which emphasizes the world as a whole, and that no 'regional' issues can be solved independently without resolving other broader issues, thus providing an effective way to resolve many of the issues with global significance."

The defects of the traditional geopolitical theories lie in dwelling on certain spatial point, from the earlier sea and land to the rim land later, which were all obviously limited by time-space. When looking at the geopolitical theories of the 20th century, one may find the conclusions made by these geopolitical theorists often served as the theoretical basis for nations in pursuit of becoming an imperialist power, colonial plunder, expansion and aggression or even for waging wars. Contrast to these traditional geopolitical theories, the "Belt and Road" initiative proposed by China is more conforming to the time in feature: it does not pursue the control of certain regions as its starting point, but advocates "mutual consultation, joint construction and co-sharing", and intends to build a new type of international relations and forge a community with a shared future for humanity. From the perspective of national development strategy, China has neither intentions nor capabilities to control the sea, the land and the rim land of the world.

B. Technical advance has given birth to different geopolitical theories. The advance of science and technology is the driver for social changes, which has given birth to various geopolitical theories from different angles. New science and technology have changed the mode of production, giving rise to industrial revolution, international division of labor, capital transfer, and re-allocation of market and resources, which have boosted major changes in international politics, international relations, and international trade, providing new spaces of imagination and practice for geopolitical studies.

In late 19th century, the U.S. took the lead in initiating a science and technology revolution as represented in the fields of electricity, steel and transportation, which soon spread to Europe. This technological revolution on a global scale had greatly raised the social productivity, changed the relations of production, altered the pattern of wars, produced monopoly and financial oligarchs, and formed national interest groups, whose demand for overseas market controlled the operation of state apparatus. As a result, to ensure control of the sea was self-evidently placed before the decision-makers of the state. The IT revolution that began in the 1970s has made the international community closely inter-connected, unprecedentedly strengthened the intensity and frequency of interactions between nations, and greatly increased interdependency among nations, which have made the geopolitical theories that focused on controlling certain areas apparently inappropriate.

Technical innovation has not only expanded the space for human activities, but also added new meanings to the power in different spaces. The three geopolitical theories mentioned above have certain characters of technical progress. After the sailing ships, mankind entered the age of steam power, while Mahan's "Sea Power Theory" reflected the application of maritime transportation technology and the utilization of the sea by mankind for obtaining national power. In early 20th century, the development of railroad technology much weakened the superiority of sea power, and especially the introduction of diesel locomotives and the construction of modern highway networks made the sea give way to the mobility on land. Since then, the vast Eurasia has become the major competition arena of the world in geopolitics. Therefore, Mackinder believed technology that used to be in favor of sea power was turned in early 20th century to favor land power, thus raising his "Heartland Theory". Nevertheless, with the further development of technology, human activities on the sea and land as well as in space have tended to be integrated, while the wealth of prosperous nations is more often than not concentrated in the rim land, as depicted by Spykman in his "Rim Land Theory".

In the 1970s, driven by the tide of globalization, more interconnected and interdependent networks began to take shape. "In a broad sense, we have got into a system that connects people closely through a World-Wide Web out of a system that built walls to separate people from one another". Mankind is marching toward a new space ---- cyberspace, while geopolitics has tended to be globally networked: global internet, communication infrastructure, data base, and cabled television have made the dependence on and the engagement with market and resources enter a new space, which has completely breached the strict internal and external distinction or limit in traditional sense. Any country cannot work out its own domestic and foreign policies as well as safeguard its own national interest without considering the geopolitical space of other countries.

Therefore, an open cooperation model that highlights mutual interests should replace the old relationship among capital, market and resources, while nations are expected to organically combine their geopolitical demand with the geopolitical demand of other nations or even that of the world. Big powers should only obtain national interests recognized by other nations, and ensure the consolidation and development of these interests through relevant international mechanisms and arrangement. Geopolitics under globalization must acquire common recognized community with a shared future rather than one-dimensional domains like the sea, the land, and the rim land. The "Belt and Road" advocated by China is the result of scientific and technological advance made by mankind. The "Wutong" (policy, infrastructure, trade, financial, and people-to-people connectivity) championed by the "Belt and Road" initiative calls for the support of modern technology, and conversely the "Wutong" will boost the upgrading and progress of technology.

II. The "Belt and Road" Initiative will Guide the Development of the Times
In sum, the "Belt and Road" initiative is by no means the combination of the three traditional geopolitical theories, nor does it serve as the theoretical basis for China to seek hegemony. Moreover, it is not the practice of the Sea Power, Heartland and Rim Land theories in a simple sense.
A. It complies with the development trend of the times. Political multi-polarization has made it impossible for any country to exalt only its own self and fight singly as in the past cases.

Economic globalization has made all the countries in the world interlinked and complementing each other on the world industrial chain, where they remain unprecedentedly dependent on each other in economic lives. Social informatization has sped up the evolution of resources, capital, talents, information, and market allocation, while closing door to the rest of the world would only make self isolation. And cultural diversification has added more color to our world, making self-thriving short-lived, as "no country can cope with various challenges facing mankind alone, nor is there any country that can retreat to self isolation".

B. It upholds the spirit of open regional cooperation, and strives to preserve the global free trade
system and an open world economy. The "Belt and Road" initiative is intended to boost the free flow of economic factors in an orderly way, efficient allocation of resources, and deep integration of markets; and promote the countries along the Belt and Road to coordinate their economic policies and engage in broader, higher level and deeper regional cooperation, so as to jointly forge a regional economic cooperation framework that highlights openness, inclusiveness, balance and universality.

C. It has offered a plan full of Chinese wisdom for global governance. "To jointly build the 'Belt and Road' conforms to the fundamental interests of the international community, manifests the common ideal and beautiful pursuit of mankind, and constitutes a positive exploration of a new model for international cooperation and global governance, which will add new positive energy to world peace and development". In an era characterized by great development, big changes and major adjustment, different countries have taken different coping posture. After taking office, Trump has withdrawn from quite some international treaties and mechanisms, showing a narrow unilateralist tendency and staging trade wars, which has chilled the international community. Against such background, the Chinese plan in the form of the "Belt and Road" appears more important and precious.

(The author is Senior Research Fellow and Director of Department for American Studies, CIIS. This article was received on 5 Aug. 2018.)
Source : http://www.caifc.org.cn/index.php?m=content&c=index&a=show&catid=22&id=539
 
..kununua ndege ni gharama kubwa sana. Na kuendesha shirika la ndege ni gharama kubwa vilevile.

..shirika letu la ndege linaendeshwa kwa HASARA hivi sasa na hali hiyo itaendelea kwa muda mrefu sana.

..Kwanini tujiingize kwenye biashara kichaa ya usafiri wa anga wakati yapo mashirika ya makubwa kama Emirates, Qatar, Ethiopia, yanayoweza kufanya biashara hiyo na sisi tukajikita kwenye biashara ambazo tuna competitive advantage nazo?

..Emirates anao uwezo wa kusafirisha matunda, madini, na bidhaa nyingine za Tanzania, kupeleka masoko mengi zaidi ukilinganisha na Atcl. We would be better off if we partnered with such corporation kuliko kutumia fedha zetu kiduchu kununua ndege ambazo zitatuingizia hasara mwaka hadi mwaka.

..Kuhusu watalii msimamo wangu ni huohuo. Hakuna tatizo la watalii kushindwa kufika Tanzania kiasi cha kulazimisha sisi kuwa na ndege zetu wenyewe. Tanzania kuwa na shirika la ndege maana yake tunajiingiza ktk gharama zisizo na ulazima. Our tourism was not suffering or struggling bcuz we did not own a national airline.

..Ununuzi wa ndege moja nadhani ni sawa na mauzo ya mwaka mzima wa baadhi ya mazao ya biashara hapa nchini.

..Uamuzi huo unatunyima fursa ya kuboresha mazao hayo kwa kuwekeza ktk research ya mbegu bora, ununuzi wa pembejeo, mafunzo kwa wakulima ili kuongeza mnyororo wa thamani, etc etc.

..Binafsi napendelea tuwekeze kwa wakulima, wafugaji, na wavuvi wa Tz, badala ya kufikiria kumiliki midege ya serikali.
Unarudia kosa la kusema fedha za kununua ndege zingetumia kwenye sekta nyingine. Nchi haiwezi kuelemea upande mmoja na kuacha kwingine, kama tulifuata mawazo hayo tutatumia muda mrefu kupata maendeleo.

Ungepita masuala ya usalama wa kiuchumi ungeweza kuelewa kwanini Tanzania inawekeza kwenye ndege zake, meli zake na treni zake. Huwezi kujenga uchumi kwa kutegemea cha mtu mwingine, utashirikiana naye lakini sio kuwa tegemeo kwa 100%. Mashirika hayo ya Emirates, Ethiopia NK... Kila wakitua hapa Tanzania, ujuwe benki kuu ya Tanzania inatoa fedha za kigeni kuwalipa kwa kazi wanayoifanya, hawachukuwi fedha zetu za madafu ila ni dola mbichi ya kijani ambayo tungeweza kuwapa ATCL na wakafanya kazi ile ile ambayo hayo mashirika yanafanya.

Mbali na yote hayo, hasara kwa shirika la ndege inategemea na mambo mengi ikiwa pamoja na kupanda na kushuka kwa soko la mafuta duniani, hali ya kiusalama katika nchi ambazo ndege inakwenda pamoja utawala mbovu au matumizi mabaya ya shirika husika. Lakini hapo hapo pima na faida kwa upana zaidi, ndege ikiondoka na nusu ya abiria, lakini kwenye tumbo lake imejaza nusu tani ya dhahabu, au tani kumi za mauwa, kwa mtazamo wako kama nchi, tunakuwa tumepata faida au hasara.
 
Kwahiyo Air Tanzania inapeleka Bidhaa za watanzania nje kwa sasa? Ina ndege ya mizigo?
Swala ni kujenga uwezo, tunaelekea kuwa na huo uwezo ndani ya muda mfupi ujao. Kila kitu kinaenda kwa hatua moja baada ya nyingine.
 
Mwanza, Tanzania

Simulizi za Padre mkaazi wa Customs mratibu wa mizigo miaka hiyo iliyotumia safari za meli zamani

Akumbuka enzi zake karne ya 20 ana matumaini makubwa na kizazi hiki za dot.com cha karne ya 21 mambo sasa yanarudi kama alivyoona zamani safari za meli kuchangamsha biashara.


Source : MbeyaYetuOnlineTV
 
hapo Songambele angepewa mkataba bila tenda halafu akatuletea meli kama mv Mbeya ambayo imebidi irudishwe matengenezoni.
 
Back
Top Bottom