Kampuni ya Ultimate Security inafukuzisha hovyo wafanyakazi wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampuni ya Ultimate Security inafukuzisha hovyo wafanyakazi wake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by amba.nkya, Jan 22, 2010.

 1. amba.nkya

  amba.nkya JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 431
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Na Sadick Mtulya

  HATIMAYE Pascal Mnaku, mlinzi wa kampuni ya Ultimate Security aliyepambana na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, kwenye mashine ya kuchukulia fedha (ATM) jijini Dar es Salaam, amefukuzwa kazi na muajiri wake huyo.

  Ni kawaida kwa kampuni ya Ultimate Security kufukuzisha hovyo wafanyakazi wake. Ieleweke kuwa sio huyo tu mlinzi wa ATM aliyefukuzwa kutokana na “Mh” Ngeleja bali kuna wafanyakazi wengi wanafukuzwa hovyo bila kufuata taratibu zinazozingatia sheri za kazi. Kuna malalamiko mengi sana kutoka kwa wafanyakazi wa kamapuni hiyo kuhusiana na kufutwa kazi hovyo….! Inasikitisha zaidi pale wanapojaribu kufuatilia haki zao hawapati msaada kutoka vyombo husika. Kazi kwetu wanaJF tufanyeje kupambana na udharimu huuu…?

   
Loading...