kampuni ya uhakika ya nyumba, viwanja, magari ya AGE LTD yaanza, utapeli wa madalali basi.

MJASIRIA MALI

Member
Aug 13, 2012
79
43
Kampuni ya uhakika ya kukusaidia kukupatia mali uitakayo (Nyumba, viwanja, mashamba, magari) au kukuuzia mali unayotaka kuuza imeanzishwa na wasomi wa Chuo kikuu. Sasa huhitaji kutapeliwa na dalali asiye na ofisi wala anuwani. Kampuni inaitwa AGE LTD.

kwa mawasiliano zaidi
piga 0658 1234 45.
emaili agetzltd@gmail.com
 
Sasa huhitaji kutapeliwa na dalali asiye na ofisi wala anuwani

Hata nyie hapo mbona hakuna cha ofisi wala address ya ofisi yenu?hata dalali naye ana email na phone number
 
Back
Top Bottom