Kampuni ya uchimbaji dhababu ya Canada, Winshear Gold Corp kuishitaki Serikali ya Tanzania kwa kukiuka mikataba

Nothing, if anything "bilateral" in this treaty, more unilateral and exploitative as the BIT first and foremost, overwhelmingly protects and benefits Canadian Mining companies in Tanzania.
That is not the issue.

You should be asking why you signed on the dotted line.

Ask yourself, were you forced to enter into the agreement in the first place?
 
Mkuu 'Mfiaukweli', pamoja na kwamba umejieleza vizuri juu ya "Bilateral Agreements" na ukaeleweka sawia; hili ulilochomeka la "Tanganyika Law Society" limefanya mchuzi safi uwe na nzi ndani yake.

Hebu eleza hili la "Tanganyika' na sio Tanzania."

Wenye chama chao wakiamua kubadili jina haiwezekani? Elezea mkuu kwa faida ya sisi tusioelewa haya mambo ya sheria.

Mimi sio mwanasheria; ila kuna practical issues kwenye registration ambazo ni affiliates au zina multi-country nature kwenye constitution zao.
 
Lisu aliwaambia! kuwa MIGA itawanyoosha! Na hii hamchomoki! Kiburi cha huyu mtu na kutaka sifa utaliangamiza taifa hili! Wapambe akina Jalala anampoteza maana nao wanaangalia welekeo ya macho na lips movements nao wanawekelea hapo hapo!
 
Mimi sio mwanasheria; ila kuna practical issues kwenye registration ambazo ni affiliates au zina multi-country nature kwenye constitution zao.
Eeenh, mkuu 'Mfiaukweli', hapa umevuruga na kukoroga kabisa. Ungekuwa ni mwanafunzi wangu hapa ungepata 'yai' kabisa.
Kwanza hata swali hukulielewa kaibisa, ukaamua tu kupondaponda hivyo hivyo!

Basi sawa, sote hatujui sheria.
 
Eeenh, mkuu 'Mfiaukweli', hapa umevuruga na kukoroga kabisa. Ungekuwa ni mwanafunzi wangu hapa ungepata 'yai' kabisa.
Kwanza hata swali hukulielewa kaibisa, ukaamua tu kupondaponda hivyo hivyo!

Basi sawa, sote hatujui sheria.

Hakuna mwanafunzi mbovu; ila kuna waalimu wabovu. Nawe jihesabu kuwa ni mwalimu mbovu maana hata kutunga swali likaeleweka imekuwa shida kwako.
 
Wakati mnazungusha mikono na kusema Mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko hamkujua kuwa JK anawaletea huyu mtu?

Kwa nini mlikuwa mnajichosha kudeki barabara wakati mkijua kuwa JK atawaleta huyu mtu?

CRBXbVCWwAALRZS.jpg
Haaaa haaaa
 
Hizi ndizo sababu zinazochangia uchumi wetu kushuka na sasa inakua kwa aslimia nne tu kutoka saba.

Unabadilisha sheria za mchezo katikati ya mechi ili ulazimishe ushindi. This is unacceptable.

Na huko usuluishi utakapofanyikia wanaangalia tu sheria, huwezi kuburuza watu wafanye kulingana na matashi yako au uwatishe na wasiojulikana.

Chini ya huu utawala, sio tu uchumi wa Tanzania utaporomoka ila hata kale ka heshima kadogo tulikokuwa nako katatoweka kabisa.
 
Mtu haheshimu katiba, haheshimu sheria za nchi, anatumia Maneno ya Vita vya kiuchumi, anajifanya anatetea wanyonge, yaani JK alikosea Sana kutuletea huyu mtu.

Winshear watakamata Dreamliner na Bombadier zote halafu utamskia Jiwe akiropokwa,'' Nchi yetu tajiri sana Mabeberu wanaihujumu kwa kuwatumia Wapinzani...''Baadaye utasikia Mbunge mmoja au kiongozi toka Upinzani anapotezwa au kusahmbuliwa kwa risasi...!!!
Kuwa na Rais asiyekuwa na focus, vision wala mission ni majanga...!!Jambo lolote kinyume na serikali yake anasingizia ni mabeberu na wapinzani....utafirki tangu azaliwe hajawahi sikia neno beberu na maana yake!!
 
Back
Top Bottom