Kampuni ya Shell ndiyo kinara wa uwekezaji Tanzania

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
Shellgasstationlosthills (1).jpg

KATI ya kampuni zilizowekeza katika utafiti na uchimbaji wa gesi nchini Tanzania, Royal Dutch Shell (au Shell kwa kifupi) ya Uholanzi ndiyo kwa sasa inaonekana kuwa na maeneo makubwa zaidi hasa baada ya kununua hisa nyingi katika kampuni ya BG ya Uingereza ambayo inamiliki vitalu vingi.

Shell iliungana na BG tangu Februari 15, 2016 baada ya kuinunua kampuni hiyo kwa kiasi cha Dola...

Kwa habari zaidi, soma hapa=> Zijue kampuni zilizowekeza katika mafuta na gesi Tanzania (12) – Shell | Fikra Pevu
 
good shell, but kampuni hii na BP nowdays sioni petrol station zao nchini
 
good shell, but kampuni hii na BP nowdays sioni petrol station zao nchini
 
Back
Top Bottom