Kampuni ya reli Tz TRL linahtaji zaidi ya Bilioni 500.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampuni ya reli Tz TRL linahtaji zaidi ya Bilioni 500..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sexologist, Feb 8, 2011.

 1. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 135
  Hbr wana JF..

  Leo Bungeni kat ya mambo yaliyonivutia, pamoja na majibu mepesi mepesi ya mawaziri, ni hili la Naibu Waziri wa Uchukuzi kusema kampuni ya TRL inahtaji zaidi ya bilioni 500 ili iweze kufanya kazi yake vizr kama kawaida, (kusafirisha abiria kiusalama)..

  My concern.. Ninaona kabisa huku ni kuhujumu uchumi wazi wazi.. TRL ilibinafsishwa, na kwa maneno ya Waziri husika, ni kwamba yule Mbia ndie ameua kabisa shirika hli la umma.. Kwa mfano alikuta treni 2, ye akaiua moja.. Alikuta safari nne kwa siku toka Dar mpaka mikoani, ye akapunguza na kufanya moja tu..

  My take; Serikal inapaswa kuifungulia mashitaka RITES, ambaye ndiye mbia, kwa kuua kampuni yetu ya umma.. Swali hivi hakuna dalili za ufisadi au hujuma katka mkataba huu.. Na je mimi na wew kama wananch wa kawaida tuna nafas gani ktk kuzuia mambo kama haya ya kuhujumu uchumi..

  My warning; serikali isipokuwa makini nina wasiwasi wa watanzania wote kusema SASA BASI.. Tuingie barabarani.
   
Loading...