selemala
JF-Expert Member
- Feb 14, 2007
- 370
- 253
gesi imeishia wapi, tunarukia uranium
Hatujarukia, huyo mzungu kaonesha nia ya kampuni yake kuja kuwekeza Tanzania. Soma vizuri timu lawamagesi imeishia wapi, tunarukia uranium
Naona tunataka tuonekane ni first world country bila kupitia changamoto zitakazoweza kutufanya first world countryToo political, bado tuna vyanzo vingi, kwa nuclear bado hatujajiandaa
Tatizo sio kuogopa changamoto tatizo kile chenye kuwezekana kwa mtaji mdogo kabs joto ardhi management imetushinda tunakimbilia makubwa kisa mzungu atausika 100% kweny plantation tujifunze kufanya jambo lenye changamoto mpk tufaulu then tuingie jingine ndo akili za kishule izoNaona tunataka tuonekane ni first world country bila kupitia changamoto zitakazoweza kutufanya first world country
Tumekuwa na tatizo la kufanya vitu kwa kufurahisha wengine wakati kwetu havina tija! Tunakuwa na mindset ya kutaka vitu bombastic ili majirani watuogope na blah blah za kutosha wakati bado tumeshindwa kujikwamua kutoka katika nyumba za nyasi. Binafsi move ya Nuclear Power Plant siikubali kabisa maana side effects zake kwetu zitakuwa kubwa sana.Tatizo sio kuogopa changamoto tatizo kile chenye kuwezekana kwa mtaji mdogo kabs joto ardhi management imetushinda tunakimbilia makubwa kisa mzungu atausika 100% kweny plantation tujifunze kufanya jambo lenye changamoto mpk tufaulu then tuingie jingine ndo akili za kishule izo
Kufail kwa project ujue hela inatumika sasa kuanza kingine ambacho nacho kinataka tatua swala la umeme ni ujinga mana gesi hesabu yake ni kuuza umeme mpk nchi jiran tukamilishe malengo kwanza tusije kutana na changamoto kote alafu hela ya kuweza tatua inakua ishu mana jua kuna shida sehem nyingine pia bro/sis.