Kampuni ya ndege ya rwandair yaiingiza ndege ya kwanza crj 900-first own | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampuni ya ndege ya rwandair yaiingiza ndege ya kwanza crj 900-first own

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Pdidy, Oct 22, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,760
  Trophy Points: 280
  KAMPUNI YA NDEGE YA RWANDAIR LEO IMEPOKEA NDEGE YAKE YA CRJ-900 NEXT GENERATION FRM KIWANDANI[​IMG]
  Proud to Own & Operate the First in Africa Bombardier CRJ-900 Next-Generation
  [h=4]Be Part of the Experience. October 22, 2012 at 14:00 Kigali time
  [/h]
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kama nyinyi mmepewa uchumi mkaukalia wenzenu wanautumia. Usishangae. Wenzao wanasema investment yes corruption no sisi tunasema kinyume. Upo hapo mwanangu?
   
 3. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Sisi ni zaidi tulipitisha sheria mpya ya manunuzi chakavu mwaka jana
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145

  [​IMG][​IMG]

  CRJ-900 Next Generation

  "We are very proud to introduce the CRJ900 NextGen aircraft to East Africa," said Mr. Mirenge. "Our 50-seat CRJ200 aircraft has helped expand our markets to the point where larger capacity aircraft are required to meet passenger demand. The CRJ900 NextGen jetliner is a natural progression from the CRJ200 aircraft that has served us so well. In addition, the larger aircraft have a two-class, 75-seat interior that will allow us to offer a premium service."

  *** Watu 75 inabeba hii ndege kwetu ni ya kupeleka watu NACHINGWEA au LINDI Mjini... HATUHITAJI VINDEGE VIDOGO KAMA HIVYO

  Hapo Mmebanwa Haswa ILITENGENEZWA kubeba watu 50; Wameongeza viti 25 kuwa 75


   
 5. M

  Mkora JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 360
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu unaweza kuficha upumbavu wako kwa kukaa kimya hakuna takaye fahamu, Nani kakufundisha huo ***** wako ?
  Unadhani watu wanatengeneza ndege kama vuie unatengeneza ungo wa wachawi
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Nani ni MPUMBAVU na ni KWANINI? Haujui kuwa NCHI zinaponunua NDEGE ndani ni PATUPU? Halafu kila nchi ina PLAN ZAKE? Umeona USA NDEGE zake viti vya KUBANANA wameongeza VITU ili wapate FAIDA; Umeona NDEGE za UAE nafasi kibao Sababu wao wanajali luxury ya MTEJA na SIO SUPER PROFIT

  Sasa hiki kindege cha RWANDA kawaida ni kubeba ABIRIA 50; Wao Wanaongeza VITI ili wapate 1st class hence more MONEY... sasa UPUMBAVU WANGU UKO WAPI? niulize kwanza kazi yani ni nini zaidi ya kuchangia kwenye JAMII FORUMS SIO KUITA WATU HAUWAJUI WAPUMBAVU KIJANA!!!
   
 7. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  'm not an expert on this field so I will not comment on what you have said ila atleast wao wameweza kununua ndege mpya tokea kiwandani wakati sisi shirika letu lipo juu ya mawe pamoja na rasilimali zote hizi tulizonazo
   
 8. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hayo ndio matunda ya sera za Kagame za ZERO TOLERANCE ON CORRUPTION!! The policy helped Singapore under Lee Kuan Yew develop with galloping speed and now it is helping Kagame realize his dream!! Mkweree huku anacheza kiduku tu na nchi inateketea.
   
 9. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145  Sasa UPUMBAVU wangu umetoka WAPI? Umetuambia hiyo NDEGE nimeiangalia na kuona MAPUNGUFU yake and I commented; Is what JAMII FORUMS is? Kutoa HOJA sio lazima niione hiyo HOJA jinsi ULIVYOIONA wewe... Na kwangu HIZO ni NDEGE ambazo WENGI wanazitumia kama personal flights... Same as the one BEYONCE purchased for JZ
   
 10. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  duuu mkuu mbona majibu yako ni tofauti na nilichokujibu hamna mahali nilipokuita Mpumbavu I never call people names mimi nimewasifia tu kwamba walau wameweza no matter how it is kwasababu sisi hatuna kama hiyo
   
 11. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  [h=2]: Kampuni ya ndege ya rwandair yaiingiza ndege ya kwanza crj 900-first own[/h]

  [​IMG] By Mkora [​IMG]
  Mkuu unaweza kuficha upumbavu wako kwa kukaa kimya hakuna takaye fahamu, Nani kakufundisha huo ***** wako ?
  Unadhani watu wanatengeneza ndege kama vuie unatengeneza ungo wa wachawi
  Nani ni MPUMBAVU na ni KWANINI? Haujui kuwa NCHI zinaponunua NDEGE ndani ni PATUPU? Halafu kila nchi ina
   
 12. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  mod
  pendekezo tu
  TOPIC CLOSED
   
 13. isambe

  isambe JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 2,053
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  Kwanini huyu Kagame tusimpe ka Bandari ketu kamoja tumpime uwezo wake?
   
 14. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  You are fighting a wrong Guy I'm not Mkora
   
 15. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145


  And that's good... Sasa hivi tuna PESA za kununua NDEGE Kiwandani kama ENZI za JK NYERERE;
  Pamoja na kubanwa na shida na ni baada ya VITA vya KAGERA; Nyerere alinunua Ndege KILIMANJARO na SERENGETI kiwandani BOEING... Angalia hizo ndege zilivyoishi Mpaka MIMI namaliza JKT na kwenda CHUO; ndipo nikapoteza kilichozitokea...
   
 16. K

  Kulya JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  [TABLE="class: wikitable, width: 500"]
  [TR="bgcolor: #DDDD"]
  [TH="bgcolor: #F2F2F2"]Date[/TH]
  [TH="bgcolor: #F2F2F2"]Type[/TH]
  [TH="bgcolor: #F2F2F2"]Customer[/TH]
  [TH="bgcolor: #F2F2F2"]Orders[/TH]
  [TH="bgcolor: #F2F2F2"]Options[/TH]
  [TH="bgcolor: #F2F2F2"]Notes[/TH]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]25 April 2011[/TD]
  [TD]CRJ900[/TD]
  [TD="align: left"]PLUNA[/TD]
  [TD]3[/TD]
  [TD]3[/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]15 November 2011[/TD]
  [TD]CRJ900[/TD]
  [TD="align: left"]Petroleum Air Services[/TD]
  [TD]1[/TD]
  [TD]1[/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]9 February 2012[/TD]
  [TD]CRJ900[/TD]
  [TD="align: left"]China Express Airlines[/TD]
  [TD]6[/TD]
  [TD]5[/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]10 February 2012[/TD]
  [TD]CRJ1000[/TD]
  [TD="align: left"]Garuda Indonesia[/TD]
  [TD]6[/TD]
  [TD]18[/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]19 March 2012[/TD]
  [TD]CRJ900[/TD]
  [TD="align: left"]Rwandair[/TD]
  [TD]2[/TD]
  [TD]2[/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]20 June 2012[/TD]
  [TD]CRJ1000[/TD]
  [TD="align: left"]Nordic Aviation Capital[SUP][20][/SUP][/TD]
  [TD]12[/TD]
  [TD]0[/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 17. k

  kamkoda JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huo mkao wa injini sijaufurahia labda wataalam wamwage unyunyu hapa jamvini!
   
 18. K

  Kulya JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Usigombane sana mkuu, ilihali huna taarifa. "The CRJ900 is a stretched 76-90 seat version of the CRJ700"... huu ndo uwezo halisi wa hiyo ndege.

  Source:
  Bombardier CRJ700 series - Wikipedia, the free encyclopedia
   
 19. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Yes, stretched does not mean still they cannot go inside and maneuver a kind of style they wanted...
  Some, will prefer one toilet than 2 in a place or seats for passengers...

  Like ya J-Z yeye hataki kitanda anataka luxurious OFFICE
   
 20. piper

  piper JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Big up to you Rwanda as to your neighbour Tanzania am still faster asleep may be one day I will wake up to follow in your footsteps my young sister, go conquer the world.

  • :hail:
   
Loading...