Kampuni ya Microsoft inafanya mazungumzo ya kuinunua TikTok

Hakuna binadamu wenye umoja duniani kama wazungu.

Wenyewe kwa wenyewe wanaaminiana, wanasikilizana na kufanya biashara pamoja.

Ukimgusa mmoja wote wanakukimbia. Angalia mfano Zimbabwe.
 
sasahivi tulipofika ukiwa na mtandao wako unataka kuanzisha uhakikishe unaenda kwanza usa kuchukua kibali cha biashara maaan kwao kila kitu kibaya..yaani trump yuko tofauti sana na obama ..Obama aliongoza nchivyema sana sijui huyu kaja na nani mjini hapa
Mbona China kafungia mitandao ya USA Kama fb, Twitter, Instagram n.k ila USA akifungia mtandao wa Kichina Ni nongwa?
 
China walipiga marufuku mitandao ya kimarekani kama facebook na whatsapp kutumika maeneo mbalimbali China.Je na wao waliogopa ushindani kwa mitandao yao kama wechat?..Haya mambo kuna vitu chini yake hatuvijui,tusiwe wepesi ku judge kirahisi rahisi tu

Utajuaje pengine China ilipiga marufuku hiyo mitandao baada ya kuona dalili za kupelekwa kwa mpalange?
 
Wangenunua na Huawei kuwasaidi, wanahangaika na 5G hawana pa kuiweka, kila wanapokanyaga jamaa kafika.
 
Mbona China kafungia mitandao ya USA Kama fb, Twitter, Instagram n.k ila USA akifungia mtandao wa Kichina Ni nongwa?
ndo tunapokuja hapo kwenye uwezo mkubwa wa kifedha ni kama kwenye familia mwenye ela ndo mwenye sauti kubwa kuliko wengne na si TZ tukiwa vizuri basi tutafungia snapchat na mengne pia
 
Hizi ni harakati za kuiokoa YouTube ambayo inapigwa mbanda mkali na TIK TOK. Manunuzi hayo ya kimafia hayawezi tokea kwani serikali ya China imeisha kataa umafia huo.
Substantial amount of a deal to go to the US government as deal maker, that sounds like extortion to me.
 
China walipiga marufuku mitandao ya kimarekani kama facebook na whatsapp kutumika maeneo mbalimbali China.Je na wao waliogopa ushindani kwa mitandao yao kama wechat?..Haya mambo kuna vitu chini yake hatuvijui,tusiwe wepesi ku judge kirahisi rahisi tu.
Ni kweli unalosema lakini wachina hawaku-force kununua Face Book na Watsup, they just banned them. Ilikuwa ni fair game kwa US na yenyewe ku-ban Tik-Tok na si vitisho vya kuuzwa.
 
Mkuu umewahi kutumia application programs za wachina? Wapi uliwahi kuona wanatumia apps zao kushambulia au kuingilia mambo ya ndani ya Mataifa mengine - wapi? Wapi uliwahi kusikia wachina waki-encourage raia wa mataifa ya kigine kupindua Serikali halali za mataifa mengine - just compare media za Uchina specifically international/satellite TV za uchina ulisikia wapi ziki-incite raia wa America, Uingereza na mataifa ya Ulaya kwamba wafanye maandamano ya kupinga Serikali zao - sasa angalia kinacho endelea kwenye MSM ya USA na UK mfano: CNN,FOXNEWS, MSCBC,Reuters, BBC, Al Jazeera - wanasema nini kuhusu Uchina(Communist party,Hong Kong, majimbo ya kislaam, Tibet na wapinzani),je, Iran na North Korea nk - media za USA zimejaa propaganda tupu na stori za kutunga tu?

Tangu lini China ikajiingiza kwenye masuala ya ku-arm terrorist/insurgents na ku-fund ujinga huo,kutumia covert/overt modus operandi hata ku-assassinate viongozi wa Mataifa ambayo hawayapendi, mfano: Lumumba, Nassar, Nkrumah, Dang Hammershold, Saddam Hussein, Gaddafi, Mossadeq, Samora Marcel etc.

Haya tuje sasa kwenye madai ya kijinga ya kusema eti telecom equipment za Huawei 5G technology zimewekewa programs za kudukua mafaili ya watumiaji, madai hayo ni uzushi mtupu - kwanza Huawei ilisema kwamba hipo tayari kuipatia Serikali yoyote yenye mashaka ili ichunguze kwa kina programs code zinazo tumiwa na Huawei kwenye products zao zote, cha ajabu Vocal America Admnistration walikaa kimya bila ya kujibu kitu, lakini Ujerumani na Uingereza walipewa code za Huawei wakazichunguza kwa kina na kubaini hakuna subroutine programs za kufanya udukuzi of any form or shape, which means madai ya Marekani ni uongo mtupu wenye lengo la kuwaribia Huawei biashara, leo hii wanaivamia Tik Tok eti nayo inahusika katika udukuzi wa mafaili ya watumiaji, ulaghai mtupu - watadukuaje mafaili ya Tik Tok ya watumiaji wa Amerika ambayo yana hifadhiwa kwenye servers ambazo zipo huko huko America?? Taifa kubwa kama USA hivi sasa limeanza kuonyesha traits za kuchanganyikiwa.
Wadukuzi wakubwa ni hawa hawa wamarekani kupitia makampuni ya simu na social media. Unakumbuka WIKI-leaks walivyotoa taarifa za udukuzi wa viongozi mbali mbali duniani akiwemo Angela Markel wa Ujerumani. Kama wachima watadukua, that's beating them in their own game.
 
Kwa mfano mimi natumia tiktok,unafikiri nina utaalamu gani kwa kujua kwamba hii app imewekwa spyware kunichunguza mimi?.Hilo unaniuliza as if ni kitu chepesi kama kunywa chai...Achana na mambo ya sijui kupindua serikali,thats the exploitation strategy ambayo kila nchi yenye nguvu inayo,hata wachina wana exploitation strategy dhidi ya nchi changa,ambayo i am sure unaijua.
Twende kwenye ku ban app,.Pale mwanzo nlikuuliza kwamba,china wali ban app za marekani kama Whatsapp,facebook,na search engine kama google na yahoo ziwe controlled na wachina wenyewe,tena wali ban kwa sababu zile zile kama za marekani,we unafikiri wachina nao waliogopa ushindani?au ni security issues,na kama ndio,kwa nini wachina wakifanya hujuma uwaamini wako sahihi,ila wamarekani unaleta shutuma kwamba wanaogopa ushindani..
5G Technology ni mambo ya power and dominance,nchi kama marekani haiwezi kukubali eti network iwe controlled na nchi nyingine tena wenye mrengo tofauiti na wao.Unajua threat ya 5G kwa super power kama marekani ni ipi?.Millitary comunications,national grid,financial system,industrial robots,self driving cars na vyote vitavyokuwa connected na 5G network vitakuwa viko kwenye hatari ya kuwa disabled iwapo China wataamua kuleta hujuma kwenye 5G Network.Kumbuka aliyeunga 5G ndio mwenye anajua siri gani amezxiweka na ni jinsi gani unaweza cut off network yote.Assume ni wakati wa vita,nani ataadhirika hapo?.We unafikiri wachina hawajui threat ya kutumia 4G network ya magharibi?.Aisee haya mambo hayapo kishabiki kama tunavyoyatizama,Sio kila hatua marekani anachukua eti ni mbaya tu siku zote.CIA NSA,USCiber security Command.Wote walishatoa report zao na wakaona threat ya ku adopt 5G ambayo sio ya kimarekani.Sasa mimi na wewe tukakomaa kusema eti hata hao NSA,CIA hawajui kitu,sisi ndio tunafahamu.BTW 5G network haijawa banned US peke yake Hata UK,India,Australia na baadhi ya nchi za ulawa wako kwenye mpango wa kususpend ushirikiano na HUawei 5G,it means they saw something fishy.Wachina huwa wakifanya ciber attack marekani huwa mnashangilia sana,leo wanatake measures mnalalamika,tupunguze emotions tucheki facts.
Nasisitiza tena,the same reason ambazo China walitumia ku ban american social networks ndio hizo hizo Marekani wanatumia ku Ban apps za kichina pamoja na mambo mangine.so tuvumiliane tu na tupunguze mihemko.
China has never exalted any force to the transfer of ownership of any American company to the Chinese company and give a forty five days ultimatum to decide their own fate whether they agree to be sold or banned from doing business in US.
Banning Tik-Tok is all fair game to me because China has done the same with You Tube, Facebook, What's up e.t.c.
I have to concur with your security concerns when it comes to one major power controlling communication networks of another. A day will come, who knows, when one can instruct the shut down of communication networks of another and cause enormous troubles on the issues have just high lighted.
 
Back
Top Bottom