Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 11,727
- 14,609
Kampuni ya mawasiliano ya vodacom imesaini mkataba na Remmit world ili kuwawezesha watumiaji wa vodacom m-pesa kuweza kupokea fedha kutoka mataifa 50 bila usumbufu wa kupitia bank,sasa wale wazee wa freelancing na forex watakuwa na amani,asante vodacom.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app