Kampuni ya LG yasitisha uzalishaji wa simu janja

Simu yangu ya kwanza ya tachi ilikua lg .Sasa imekua mwendazake lg.
 
Pole sana kwa familia ya LG. Naona wameamua kumfuata mwenzao BLACKBERRY.

RIP LG smartphones, tulikupenda ila soko halijakupenda zaidi.
 
Mh! Tecno hayupo sereous anatenheneza simu za wanyonge tu, ukiona kitu wenye ngozi nyeupe hawatumii ujue low quality
Baada ya miaka 20 hao wachina watakua wameteka soko lote la simu duniani.soma alama za nyakati utaona wanavyobadilika kwa kasi.
 
Baada ya miaka 20 hao wachina watakua wameteka soko lote la simu duniani.soma alama za nyakati utaona wanavyobadilika kwa kasi.
kama watateka basi haitakuwa kwa kutumia tecno au itel wala infinix.

wachina wana simu kali sana tu ambazo sina shaka kama zinafanya vyema japo generation ya simu haitamaliza miaka 10 kabla ya kufitinika kwa tech nyingine kuanzia sasa.
 
Baada ya miaka 20 hao wachina watakua wameteka soko lote la simu duniani.soma alama za nyakati utaona wanavyobadilika kwa kasi.
Hata soko la DVD kateka mchina sasa hivi,

Haya makampuni makubwa sio kwamba yakiondoka soko la simu yameishiwa Yana biashara ambazo ni muhimu sana wana exit biashara zenye faida ndogo.

Na ikifika miaka 20 na hizi IOT pengine matumizi ya simu yakawa hayana maana tena.
 
Nokia won't die easily asee n baba wa tech upande wa simu
Technologia yake n moyo wa makampuni makubwa ya sim
Alikuwa na project ya 5g enz izo apple na iphone bado wapo kwenye zoom battle
Wakat yy alishinda zoom battle many years ago na pureview
 
Nokia ya sshv sio Nokia ya zamani. Wame license jina kwa HMD Global (company ya Finland huko)
 
Back
Top Bottom