Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,606
- 696,727
Ni wapi kamtaja Lissu hapa?Mayanga wapo na wapo kazini hapa tanzania, nenda kawaulize wewe mwenyewe, na wako brela ukiwakosa huko njoo uanzishe uzi hapa.
Kama wewe mwenyewe hutaki kutafuta ukweli basi utulie ulishwe matango na bosi wako Tundu lisu.
Usitegemee vya kuambiwa tafuta ukweli wewe mwenyewe.