Kampuni ya KK kuajiri walinzi kutoka Kenya

Walnut Creek

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
5,711
6,033
Hivi karibuni nimeshangazwa sana kuona walinzi wa KK waliopo lindoni ni wakenya. Je ni sawa kwa kazi za ngazi za chini kama ulinzi kuchukuliwa na raia wa nchi nyingine. Naomba wanaofahamu wanijuze.
 
Mmh sasa hapo inategemea mkuu, kwani wote walio kwenye hizo ngazi za chini ni Raia wa kenya wote?? kama ni hivyo kutakuea na WALAKINI
 
Hivi karibuni nimeshangazwa sana kuona walinzi wa KK waliopo lindoni ni wakenya. Je ni sawa kwa kazi za ngazi za chini kama ulinzi kuchukuliwa na raia wa nchi nyingine. Naomba wanaofahamu wanijuze.
wakenya walivo wezi tutegemee matukio ya ujambazi kuongezeka nchini.
 
Hivi karibuni nimeshangazwa sana kuona walinzi wa KK waliopo lindoni ni wakenya. Je ni sawa kwa kazi za ngazi za chini kama ulinzi kuchukuliwa na raia wa nchi nyingine. Naomba wanaofahamu wanijuze.
Hao walinzi umewakuta wapi Boss?
 
Back
Top Bottom