Kampuni ya globalpublishers kusimamisha uzalishaji wa magazeti Januari 2021

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,024
16,488
Global Publishers Logo

Kuanzia Januari Mosi, 2021 magazeti pendwa yote ya Global Publishers yatapatikana kupitia mtandaoni pekee.

Hakikisha una Dowload Application yako ya Global Publishers sasa ili ujisomee hadithi uzipendazo na habari za magazeti ya Uwazi, Ijumaa Wikienda, Risasi na Amani BURE kwa mwezi mzima!

Baada ya OFA hii, utayasoma kwa bei rahisi ya shilingi 300 tu kwa nakala popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania, kupitia Global App au website
 
Global Publishers Logo
×
Global Publishers Logo

atrium

BREAKING NEWS

Huyu jamaa anakwenda na kasi ya dunia.Huko tunakokwenda kila kitu kitakuwa kiganjani-digital world.so ameitime time kabla time haijamtime yeye

Hongera kwako Eric.

Sema ajira za masales man kwish kazi

na wale wenzangu ni mimi wa kurekebisha mitambo ya kichapishia kazi kwa heri.waliokiwa wana suply wino na makaratasi tutaonana kunako majariwa

Hii ndiyo habari ya mafundisho ya Mwl.Mwakasege ya MSIMU MPYA
 
Magazeti mauzo yamepungua sana.. na kizazi cha wazee wa zamani kinavyozidi kuisha ndio wanunuzi wa magazeti wanaisha kabisa
 
Shida inakuja mtu atalipa 300 huku kuna websites na apps zingine zinazooffer same service for free au ndiyo mtu atanunua kwaajili ya masimulizi?

Ukitoka hapo kuna swala la mtandao na smartphone kutosambaa nchi nzima.

Hapa kuna wafanyakazi watafute pa kwenda.
 
Magazeti mauzo yamepungua sana.. na kizazi cha wazee wa zamani kinavyozidi kuisha ndio wanunuzi wa magazeti wanaisha kabisa
Nani anunue gazeti linalotoa habari za marudio.maana smart phone zinatupa taarifa zote "at real time".taarifa za habar za kwenye tv zinafuata and then magazeti kesho yake,taarifa ni marudio kabisa.

Kitu atakachouza ni hizo hadith/simulizi zake ,maana hizo ni zake.Ila siyo kureport matukio yaliyotukia sehemu nyingine ,hayo yanakuwa ni marudio.maan social media ziko so effecient now days
 
Global Publishers Logo
×
Global Publishers Logo

atrium

BREAKING NEWS

Kuanzia Januari Mosi, 2021 magazeti pendwa yote ya Global Publishers yatapatikana kupitia mtandaoni pekee.
Hakikisha una Dowload Application yako ya Global Publishers sasa ili ujisomee hadithi uzipendazo na habari za magazeti ya Uwazi, Ijumaa Wikienda, Risasi na Amani BURE kwa mwezi mzima!

Baada ya OFA hii, utayasoma kwa bei rahisi ya shilingi 300 tu kwa nakala popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania, kupitia Global App au website
Kusema ukweli, sikumbuki ni lini mara ya mwisho nimenunua gazeti mtaani !
 
Hii biashara ya haya magazeti ikifungwa itaathiri watu wengi wanauza wino wataumia maana hamna printing..Pili wauza karatasi nao wataumia pia na mnyororo wote wa wahusika hawa....

Lakini pia vigazeti hivi Vinaandika uongo unakuta heading inasema Flani akumbwa na Bonge la skendo mara ooh flani vile ukiingia kusoma ndani unakuta ni kitu tofauti kabisaaa...
 
Pamoja na kwamba Magufuli amevuruga uchumi kwa kuyapiga baadhi ya makampuni kodi kubwa kubwa lakini pia ukuaji wa kasi wa matumizi ya Mitandao ya Kijamii Umechangia kuua Soko la Magazeti Hardcopy
 
Hii biashara ya haya magazeti ikifungwa itaathiri watu wengi wanauza wino wataumia maana hamna printing..Pili wauza karatasi nao wataumia pia na mnyororo wote wa wahusika hawa....

Lakini pia vigazeti hivi Vinaandika uongo unakuta heading inasema Flani akumbwa na Bonge la skendo mara ooh flani vile ukiingia kusoma ndani unakuta ni kitu tofauti kabisaaa...
Unasema ikufungwa itaadhiri watu wengi? Kwamba gharama za kuendesha mitambo na kulipa wafanyakazi bila income unaona ni sawa?
Hiyo ni ishara ya biashara kudorora no rotation
 
Back
Top Bottom