chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,961
Mabaki ya mawe ya dhahabu yanayofahamika kama magangwala yatakuwa yanapewa kwa wananchi kuanzia sasa, hili linafuatia agizo la Magufuli alilolitoa akiwa huko Geita ambapo alitoa wiki tatu wananchi hao wawe wamepewa mabaki hayo, lakini wananchi wamehofia kuwa watakuwa wanapewa mabaki hewa