Kampuni ya Gardaworld imetangaza nafasi za kazi kwa madereva

Sema Hawa watu wanadhambi Sana gardaworld ya marekani na Huku nitofauti kabsa Huku kwetu wanawabinya wafanyakazi at the maximum mishahara midogo mno
Wanakauli mbiu yao kwamba wakikulipa palefu utawakimbia na kwenda kuanzisha biashara

Wanataka wakunyonye ili waendelee kukutumikisha, Tena zile za local Wanawachelewesha mishara yaani unakuta Hadi tareh 17 ya mwezi mwingine hawajalipwa kwa hari kama hiyo demu au mkeo atashindwa kukuacha kweli.
 
usidanganye wenzako...kwa mfano hii garda kuna watu wanalipwa hadi 1m na ni walinzi tu wakawaida
 
Wanakauli mbiu yao kwamba wakikulipa palefu utawakimbia na kwenda kuanzisha biashara

Wanataka wakunyonye ili waendelee kukutumikisha, Tena zile za local Wanawachelewesha mishara yaani unakuta Hadi tareh 17 ya mwezi mwingine hawajalipwa kwa hari kama hiyo demu au mkeo atashindwa kukuacha kweli.
dah mkuu wewe ni Muongo wa kimataifa.

mm nimefanya kazi GardaWorld, hakuna ucheleweshaji wa mishahara hata siku 1.

mishahara inapokelewa mapema sana, wakati mwingine siku 2 kabla ya mwisho wa mwezi.

Na unapewa SALARY SLIP.

NA endapo utapokelea benki ya EQUITY, UNAPATA MKOPO HADI WA MILIONI 1.
 
kweli kabisa na stanbic nao walikuwa wnakopesha zaidi ya m2...kulingana na mshahala wako ila kwa sasa wamesitisha...
 
dah mkuu wewe ni Muongo wa kimataifa.

mm nimefanya kazi GardaWorld, hakuna ucheleweshaji wa mishahara hata siku 1.

mishahara inapokelewa mapema sana, wakati mwingine siku 2 kabla ya mwisho wa mwezi.

Na unapewa SALARY SLIP.

NA endapo utapokelea benki ya EQUITY, UNAPATA MKOPO HADI WA MILIONI 1.
Kuhusu suala la kuchelewesha mishahara nimezungumzia kampuni za local mf: kiwango security, Gema security, mkb securities, stemo security , nass security na mengine mengi

Amini usiamini huko watu wanapoteza muda wao tuu hakuna Cha ziada wanachokipata na kigezo chao ujue kusoma na kuandika mengine mtajuana mbele kwa mbele

Huniambii chochote kile kuhusu makampuni ya ulinzi mkuu, hata hayo yakigeni nayo ukifanya research ni wanyonyaji wakubwa hawana huruma kabisa na tatizo ni waswahili waliopewa mamlaka na wageni wayasimamie hayo makampuni wanajari matumbo yao tuu hawaangali yule anayewaingizia kipato na akiwa amerisk maisha yake kufa au sello.
 
dah mkuu wewe ni Muongo wa kimataifa.

mm nimefanya kazi GardaWorld, hakuna ucheleweshaji wa mishahara hata siku 1.

mishahara inapokelewa mapema sana, wakati mwingine siku 2 kabla ya mwisho wa mwezi.

Na unapewa SALARY SLIP.

NA endapo utapokelea benki ya EQUITY, UNAPATA MKOPO HADI WA MILIONI 1.
Mkuu,nitoe tongo kidogo...nikitaka kuapply,huwa wanaangalia vigezo vipi...je mi lazima mtu awe amepiga kwata jkt?na je kwa mwenye taaluma,inakuwakuwaje...maana sahv vijana kitaani kwa moto
 
Vigezo vyao common ni elimu kuanzia form 4.
urefu.
kuhusu jkt sio lazima, kama umepita is just an added advantage
 
Nenda pale office zao ziko kwa mwinyi utakuta ubao wameandika masharti yao na vigezo vyao na siku ya kupeleka na muda wakufika nakushauri nenda usisubiri kuambiwa kila kitu wanavimasharti vingi kidogo
 
Mwambie huyo asiejua.

mimi ni kama Operations Manager hapa Mwanza.
 
Na Kama ndio tupostie basi vigezo na masharti ya siku ya kupeleka ili mtu ajiandae sio anaenda anaambiwa kachelewa au sio siku iyo msaada tu mkuu naomba kama hutojali vigezo kwa both side walinzi na madereva
 
atatapeliwa mtu hapo muda sio mrefu
 
Back
Top Bottom