Kampuni ya Gardaworld imetangaza nafasi za kazi kwa madereva

Ndugu madereva leo nimewaletea hii fursa

GARDAWORLD ni kampuni iliyopo ndani ya kampuni ya ulinzi iliyokuwa inafaamika kwa jina la K.K security.
kampuni hii ya ulinzi ni miongoni mwa kampuni kubwa zinazotoa mshahala angalau kidogo kuna kaunafuu, maana NSSF inazingatiwa na mafao mengineo kwa ujumla kwa vijana ambao wanaanza maisha kampuni hii iwe kimbilio lenu la kwanza....

kampuni hii ya gardaworld imetangaza nafasi za kazi kwa upande wa madereva
sifa
client-portal-hero.jpg

1. leseni kuanzia daraja E....
2. uwe na elimu ya kidato cha nne
3.ujue lugha ya kingereza.
4.uwe na uzoefu angalau mika 3 bila kusababisha ajali
Governance-people.jpg

ofisi za gardaworld kwa dar-es-salaam zinapatikana pale kwa mwinyi...mikocheni B, ukiwa unatokea kawe kituo ni hicho hicho kwa mwinyi...ata ukiwa unatokea moroko ukiwa unaenda kawe utashuka hapo hapo kwa mwinyi....

kupata kazi hiyo hakuitaji rushwa ya aina yoyote ni vigezo tu vitakavyo sababisha upate...karibu sana Gardaworld

{angalizo mimi sio meneja muajiri wala sina uhusiano na msaada wowote wa kukusaidia upate kazi hiyo hivyo fuata tangazo lilivyoelekeza....na ukifanikiwa kupata ni busara zaidi kuja kutoa mrejesho hapa}
Ubarikiwe sana kiongozi,Huu ndio utofauti wa Jamii forum na social media zingine
 
haiuzwi nazani muda sio mrefu wataungana na garda..kutakuwa na muunganiko wa pia wa SGA...kujiunga na garda kampuni pekee itakayo kuwa inaoneana ni GARDAWORLD...na sio kwamba wanauziana kampuni..nop...bali ni muunganiko tu wa kibiashara ambao utendaji na mikataba ya kila kampuni unabaki vile vile
Inamaana vitendea kazi vinakua na lebal gani?
 
Hizi kampuni zinakuja kwa kasi sana na kunyima kampuni za ndani tender za ulinzi, serikali iangalie kwa jicho la tatu mishaara huko ni midogo ili hali wao wanapata pesa nyingi kupitia wewe
Kabisa mkuu
Yaani ni wanyonyaji wakubwa
Hawa nawafananisha na new kolonialism
 
Sema Hawa watu wanadhambi Sana gardaworld ya marekani na Huku nitofauti kabsa Huku kwetu wanawabinya wafanyakazi at the maximum mishahara midogo mno
 
Sema Hawa watu wanadhambi Sana gardaworld ya marekani na Huku nitofauti kabsa Huku kwetu wanawabinya wafanyakazi at the maximum mishahara midogo mno

Jaribu kulinganisha kada zote za ajira uone kama ni kwenye hiibsekta pekee ndio wamekandamizwa.

Chunguza waalimu, askari, wanajeshi, wataalam wa IT na fani nyingine wa USA kama wanalipwa sawa na wakwetu.
 
Back
Top Bottom