Kampuni ya Elsewedy ipo katika mazungumzo kuwekeza katika reli na kiwanda cha mbolea

..wakijenga kwa fedha zao upo uwezekano wakadai msamaha mkubwa na wa muda mrefu wa kodi.
Suala ni sie kuweka mkataba mzuri tu unaozingatia maslahi mapana ya nchi!

Siku zote private sector zinaendesha vitu kwa ufanisi sana. Kwa taarifa yako hata uwanja wa ndege mkubwa wa Uingereza wa Heathrow unaendeshwa na private sector
 
Huyu elsewedy ni mpare kabisa wa milimani, kule wanamuita urewedy. Jamaa ni mbaili sana anaweza kukulipa buku kwa siku huko kiwandani
 
Suala ni sie kuweka mkataba mzuri tu unaozingatia maslahi mapana ya nchi!

Siku zote private sector zinaendesha vitu kwa ufanisi sana. Kwa taarifa yako hata uwanja wa ndege mkubwa wa Uingereza wa Heathrow unaendeshwa na private sector

..jambo la msingi ni kuchambua faida vs hasara za mpango utakaowekwa mezani.

..Nadhani uwanja wa ndege wa KIA ulikuwa unaendeshwa na private sector lakini yalikuwepo malalamiko mengi kwamba tunaibiwa.
 
..jambo la msingi ni kuchambua faida vs hasara za mpango utakaowekwa mezani.

..Nadhani uwanja wa ndege wa KIA ulikuwa unaendeshwa na private sector lakini yalikuwepo malalamiko mengi kwamba tunaibiwa.
Ndo mana nikasema suala ni kuweka mifumo mizuri ya usimamiaji na mkataba mzuri unaozingatia maslahi ya Taifa.
 
..Na reli ya sgr kwa mikoa ya kusini.

..reli hiyo itafika mpaka ulipo mradi wa chuma na makaa.

..Elsewedy ndio watakaojenga na kuendesha reli hiyo, kama nimemuelewa vizuri waziri wa uwekezaji.

..kiwanda cha mbolea kitakuwa ni sehemu ya mradi wa gesi asilia.
Kwa nini inajengwa reli ya sgr ni sio hizi za kawaida?
 
Kwenye mahojiano na Kikeke alisema alikuwa anasubiri vyama vya siasa vijipange, na sasa kataarifiwa vimejipanga hivyo atakutana nao soon! Nafikiri kikao hicho ndicho kinapaswa kutumiwa na wapinzani kutoa nyongo zao. CDM nao waache arrogance, waende wakaudhurie kikao na wenzao, hii mambo ya kusema hawawezi kukaa na TLP meza moja inabomoa na si kujenga
Chadema wanataka katiba mpya, vyama vingine vingi vya upinzani hawataki katiba mpya au katiba mpya sio agenda yao, watakaaje meza moja ya upinzani?
 
..vipo vyama vya siasa ambavyo vimekuwa vikitumika KUHUJUMU ajenda ya mabadilliko nchini.

..sasa serikali izingatie ukweli huo itakapoamua kukutana na vyama vya siasa.

..lakini nakubaliana na wewe kwamba CDM wakubali kukutana na Rais ktk mazingira yoyote yale. Nashauri wasiweke masharti.

..jambo la msingi madukuduku ya vyama genuine vya upinzani yafanyiwe kazi, na HAKI SAWA itamalaki kwa vyama vyote vya siasa.
Mimi kwenye hili na sympathise na CDM. Ni tofauti kukutana na vyama zaidi ya kumi vya upinzani ambapo vinne ( CDM, ACT, CUF, NCCR,) ndio vina agenda ya wazi ya upinzani chini ya uenyekiti wa Chibuda. Hapo CDM atapewa dakika mbili kuongea na lolote watakaloongea litapingwa na wakina TLP, TADEA n.k. Kikao kitageuka forum ya kujipendekeza kwa Chama Tawala kwa kushambulia CDM. Hapo hujamweka Msajili wa Chama. Hamna kitu cha maana kitakachopatikana.

Aidha, wataambiwa maswali yote yapelekwe mapema kupitia kwa Mwenyekiti au Msajili wa Vyama. Watasomewa risala na serikali itajikosha kuwa wameongea na wapinzani kama vile wanavyosema ni serikali inclusive kwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa sio wa CCM na kwenye mkutano na vijana Nusrat alitambuliwa.

Hamna mtu asiyejua kuwa upinzani wa dhati sasa hivi unaongozwa na CDM. Kama kweli unataka kusikia mawazo ya upinzani inabidi uwape kipaumbele. Usipofanya hivyo itakuwa ni utani tu.

Biden hawezi kusema hawezi kuongea na Republicans bila wawakilishi wa the Communist Party USA na Green Party kuwepo kwenye mazungumzo.

Amandla...
 
Kwa nini inajengwa reli ya sgr ni sio hizi za kawaida?

..SGR ni kiwango ambacho nchi za EAC zimeamua reli zote mpya zitumie.

..Pia kuna Cape Gauge Rail ambacho ni kiwango kinachotumika ktk reli za nchi nyingi za SADC.

..Reli mpya ya Angola imejengwa kwa kiwango cha Cape Gauge Rail.

..Pia TAZARA imejengwa kwa kiwango cha Cape Gauge Rail.

..Sifahamu kwanini wanataka reli ya kusini iwe na sgr badala ya kiwango kingine chochote.
 
Wawape tu bongo longo longo nyingi wanataka performance kwa maslai kiduchu
Mkuu, hatuwezi kuwa na 'dismissive attitude' ya namna hii. Haya ni mapambano ya nchi yetu, kamwe hatuwezi kuacha kuipambania Tanzania kwa sababu zozote zile.
Hata wakiwapa, hatuwezi kuacha kuyaibua madudu na kuyaelezea kila tunapoyaona wakiyafanya.
 
kwa sababu Rais ni muislamu? Mbona wakati MAgufuli alipo wapa contract ya Bwawa hamkusema kitu?
Wewe huelewi chochote, unajiropokea tu!

Hata uwezo wa kutambua tofauti zilizopo kati ya yanayoongelewa sasa na hayo ya Magufuli huna uwezo wa kuijua?
 
Mwananchi unataka upate nini wewe kama wewe?Acha watu wawekeze wewe kama umeshindwa kujitafutia ugali,serikali kamwe haiwezi kukupa.
Ni watu wenye akili mfu kama wewe ndio mnaoipa shida sana nchi hii, kwa sababu huna unachojuwa, kutokana na haya uliyoandika hapa!
 
Chadema wanataka katiba mpya, vyama vingine vingi vya upinzani hawataki katiba mpya au katiba mpya sio agenda yao, watakaaje meza moja ya upinzani?
Ni wapi/line walisema hawataki katiba mpya? Kama mpo tayari kuonana na Rais kweli kama upinzani, why msikutane kabla na wenzenu and kila chama kiweke ajenda zake mezani, mzijadili, mfikie muafaka muende mkiwa mmejipanga kama kitu kimoja? Maana kwa style hii ya kwenda kila mtu kivyake vyake sidhani kama kuna muafaka utafikiwa
 
..Na reli ya sgr kwa mikoa ya kusini.

..reli hiyo itafika mpaka ulipo mradi wa chuma na makaa.

..Elsewedy ndio watakaojenga na kuendesha reli hiyo, kama nimemuelewa vizuri waziri wa uwekezaji.

..kiwanda cha mbolea kitakuwa ni sehemu ya mradi wa gesi asilia.


Safi sana angalau waarabu tunaweza tunishiana misuli.
 
Back
Top Bottom