Kampuni ya APPLE ina thamani ya kuweza kuilisha Tanzania kwa miaka 46 kwa bajeti ya tril 32 kila mwaka

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
‪Kampuni ya Apple imekuwa ni kampuni ya kwanza duniani kuwa na thamani ya Dola Trilioni 1 sawa na KWADRILIONI 2 za Kitanzania, Bajeti ya Tanzania 2018/19 ni Trilioni 32.476 hii ina maana kwamba Apple inaweza ikaifadhili Bajeti ya Tanzania kwa zaidi ya miaka 69.#MillardAyoUPDATES‬
 
Yanini mbali kote huko!!!

Dangote huyu huyu... yaani huyu Dangote Mmatumbi mwenzetu ana uwezo wa ku-finance 100% ya bajeti yetu kwa mwaka mzima!!!

Lakini kwavile pesa halisi inayotolewa na bajeti ya akina Magu ni roughly 50%, basi ieleweke kwamba, Dangote huyu huyu mwenye kiwanda cha saruji Mtwara, ana uwezo wa ku-finance bajeto yetu kwa miaka 2!!!
 
aisee tukienda kea asilimia kama ulibyo taja hapo juu kampuni ya epo itafinance kwa miaka mingi sanaaaa
 
unaongea as if budget yetu itakuwa constant miaka yote.....afu headings za hivyo za kizamaniiii sanaaa....come on kuwa updated basii
 
‪Kampuni ya Apple imekuwa ni kampuni ya kwanza duniani kuwa na thamani ya Dola Trilioni 1 sawa na KWADRILIONI 2 za Kitanzania, Bajeti ya Tanzania 2018/19 ni Trilioni 32.476 hii ina maana kwamba Apple inaweza ikaifadhili Bajeti ya Tanzania kwa zaidi ya miaka 69.#MillardAyoUPDATES‬
Na Ruzuku ya Chadema itakuwa ina thamani ya kulipwa kwa miaka mingapi?
 
aisee tukienda kea asilimia kama ulibyo taja hapo juu kampuni ya epo itafinance kwa miaka mingi sanaaaa
Hadi kizazi chote kilichopo hai kinaingia kaburini, including Watanzania waliozaliwa leo!
 
Yanini mbali kote huko!!!

Dangote huyu huyu... yaani huyu Dangote Mmatumbi mwenzetu ana uwezo wa ku-finance 100% ya bajeti yetu kwa mwaka mzima!!!

Lakini kwavile pesa halisi inayotolewa na bajeti ya akina Magu ni roughly 50%, basi ieleweke kwamba, Dangote huyu huyu mwenye kiwanda cha saruji Mtwara, ana uwezo wa ku-finance bajeto yetu kwa miaka 2!!!
Afu na yeye anafilisika?
 
Mkuu hiyo ni Market value na sio Pesa kama unavotaka kuaminisha raia hapa...
Na market value ya product hupand na kushuka muda wowote,
Turud kwenye mada, uzalishaji wa nchi na uzalishaji wa kampuni huwa si vitu vya kulinganisha....
Ikitokea mfano tunataka kuiuza Tanzania , unadhan itakuwa na bei kias gani kwamfano?(a kind of nonsense)
Nadhani ni muda sasa wanasiasa wetu tuwalazimishe waache siasa za kijinga na kujikita kwenye siasa za uchumi na uzalishaji , offcourse na mambo ya kijamii... Huu ujinga wa kuwa na wanasiasa complecent kama kina Waitara,Mtulia &co ni muda WA kuwakataa Kwa Shari kabisa...
Siasa za kina Pole pole kwenye biashara za Serikali nazo ni zakupiga mateke... Tuwe na Sheria Kali kwakweli...
Tutengeneze magiant na Sisi kama wenzetu kama ,
FMAAG....nk
 
‪Kampuni ya Apple imekuwa ni kampuni ya kwanza duniani kuwa na thamani ya Dola Trilioni 1 sawa na KWADRILIONI 2 za Kitanzania, Bajeti ya Tanzania 2018/19 ni Trilioni 32.476 hii ina maana kwamba Apple inaweza ikaifadhili Bajeti ya Tanzania kwa zaidi ya miaka 69.#MillardAyoUPDATES‬

Thamani ya nchi ya tz inaweza kufinance budget ta dunia nzima miaka buku ijayo,endapo tu rasilimali za Taifa zitatumika kwa usahihi
 
Back
Top Bottom