Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri mkuu akilikuwa na ultimate solition. Angeachwa huenda kuwa korosho zingesha uzwa.
Cheap popularity imeponza rais.. sasa itabid ale matapish yake.
Wameshazitangazia mbona . Na waziri anatangaza tena kwa confidence kabisa. PumbavSahivi wanataka ziishie dar wanazitangazia nguvu za kiume
Wameshazitangazia mbona . Na waziri anatangaza tena kwa confidence kabisa. Pumbav
Hawajui lolote Kuhusu biashara hii na zao la koroshowHaya mambo yanakera sana!! Cha ajabu sijui ni mazimwi, Misukule ama binadamu wenzetu wanaotetea uonevu huu usio na sababu!!
Mlishe--wko koroshow ili aongezeeHii habari ipo tangu juzi.. ila kuna watu nimekuwa nikiwacheka wakiandika majanga humu JF.. mlie tu sasa.. kuona ni habari ya tangh juzi.. vidaku
Hongera kwa Serikali yetu
Serikali imesaini mkataba wa awali na kampuni sita ya kununua korosho kati ya zilizoomba kununua korosho hizo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Mei 16, 2019 Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda amesema baada ya Kampuni ya Indo Power ya nchini Kenya kushindwa kununua korosho wameendelea kusaini mikataba ya awali.
“Tumeendelea kusaini mikataba mingine na makampuni mengine, mikataba ambayo tumeisaini ni ya awali.
“Mpaka sasa tumesaini na makampuni sita nisingependa kuyataja kwa majina kwa sababu tunajua hali halisi ya makampuni ya korosho watu wanafuatiliana, wanaharibiana biashara pamoja na majina.
“Lakini kuna kampuni moja tuliikaribisha wiki iliyopita imekuja kukagua maghala ya korosho wamejiridhisha kwamba korosho yetu ni safi na haijaharibika na tumepeleka kwenda kuhakiki TBS na wameenda kufanya uhakiki katika nchi yao na wamejihakikishia kwamba ni nzuri na wanajiandaa kulipa.
“Hawa mabwana wakilipa tunawakabidhi korosho mara moja,”alisema Waziri Kakunda.
Akitoa ripoti ya maagizo aliyoagizwa na Rais Dk. John Magufuli wakati akiapishwa, Novemba 12 mwaka jana ya kusimamia ununuzi wa korosho, Kakunda alisema tangu Novemba 13 mwaka jana hadi Mei 15 mwaka huu zimeweza kukusanywa tani 225,000.
“Kati ya hizo tani 2,200 zinaendelea kubanguliwa na viwanda vya ndani kwa mikataba maalum. Maana yake zinabaki tani 228,000 katika maghala."Alisema

Sasa mtu ana PhD au hao mawaziriKama nchi inataka kufanya biashara lazima tukubaline na sheria za mchezo. Biashara inahitaji uielewe, uwe mvumilivu,na ujue kuna kupanda na kushuka kwa bei