HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,363
- 94,543
Hela nyingiStrabag International GmbH hawa jamaa wametupwaje?
Au waliboronga Phase 1?
China hela ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hela nyingiStrabag International GmbH hawa jamaa wametupwaje?
Au waliboronga Phase 1?
Nyie jamaa wa Lumumba linapokujaga swala la Magazijuto hamuelewagi kabisa, Hapa ni hesabu tu, numbers hazidanganyi. Kama barabara ni kilometa 20 (yaani mita 20,000), na unasema kituo hadi kituo kwa sasa haizidi mita 200 ( means sometimes inapungua),Sidhani vituo vilivyopo sasa kituo hadi kituo cha daladala kwenda mbagala hakizidi mita 200 Na havizidi 14.Kuwa kutakuwa Na Vituo 29 hadi mbagala sielewi kweli.Nadhani kuna kosa la kiuandishi.Haiwezekani vikawa vituo 29
Tatizo siyo barabara hapo. Tatizo hapo ni kampuni hiyo ya mabasi kuendeshwa na kusimamiwa na Watanzania.Hii ya ubungo mpaka mbezi magari ni machache mno na mengine yalisha haribika yapo jangwani mle na isitoshe msimu wa mvua ndio huu tena sijui wamejipanga vipi pale.
Mpaka unafikia hatua ya kuwa mkandarasi halafu huelewi faida ya kupata tenda kubwa kama hizi za BRT basi inabidi utafute shughuli nyingine ya kufanya. Ukandarasi sio wito wako.Je, kama tatizo ni ujinga wa wakandarasi, je kwa nini wasipatiwe elimu kuondoa huo ujinga kwa manufaa ya taifa zima.?
Yale yale ya kusoma ili mtu afaulu mitihani badala ya kupata elimu itakayoyasaidia maisha yake.Tatizo siyo barabara hapo. Tatizo hapo ni kampuni hiyo ya mabasi kuendeshwa na kusimamiwa na Watanzania.
Tunachoweza Watanzania ni ngoma, ulevi, wizi, majungu, uzembe na kuharibu.
Tunaiona BRT inavyokufa lakini hakuna hatua yoyote inayochukuliwa ya kuinusuru. Tunabadili wafanyakazi badala ya kubadili namna nzima ya utendaji.
Sidhani vituo vilivyopo sasa kituo hadi kituo cha daladala kwenda mbagala hakizidi mita 200 Na havizidi 14.Kuwa kutakuwa Na Vituo 29 hadi mbagala sielewi kweli.Nadhani kuna kosa la kiuandishi.Haiwezekani vikawa vituo 29
Hela.za mkopo. Na ndo moja ya masharti ya mkopo! % flan ya hela lazima irudi kwaoVP kampuni za wazawa? Je, hawawezi kufanya hii project? Je, tatizo ni ujuzi mdogo, elimu duni, uzoefu mdogo ama mitaji midogo ya wakandarasi wetu?
Kama tatizo ni ujuzi na uzoefu Mdogo, je kama nchi tuliwawezesha vipi kupata ujuzi kwenye phase 1 ya huu mradi?
Kama tatizo ni elimu mbovu, je kuna hatua gani zinachukuliwa na wahusika kurekebisha hilo?
Na kama tatizo ni mitaji midogo ya wakandarasi, je taasisi zetu za kifedha nchini zina msaada wowote? Na je, mfumo mzima wa upatikanaji mitaji kwa kampuni za wazawa kwa projects kama hizi upo vipi?
Je tunaelewa madhara ya kiuchumi kwa kuwa tegemezi kitaaluma?
Haya ni maswali ambayo kila mzalendo wa kweli anatakiwa kujiuliza.
Changamoto lazima lakini sio sababu ya mradi wa phase II usiendeleeGari ni chache mnoo hii ya Ubungo-Kimara na population ya Mbagala sijui hali itakuaje.
Huko ndiko kusomea ujinga.Yale yale ya kusoma ili mtu afaulu mitihani badala ya kupata elimu itakayoyasaidia maisha yake.
Wambie.Kwa mfano kutoka Mtongani mpaka kituo kinachofuata unapoenda Mbagala Ni mita Mia tano?Utaalamu gani koko huo ina maana hata kama eneo ni pori hamna watu unaweka kituo kisa Ku meet rule ya kuwa Kila mita 500 kituo cha basi?