Kampuni kutoka China yashinda zabuni ya BRT awamu ya pili kutoka Kariakoo hadi Mbagala

Unaanza matusi sasa! This is a sign of failure to argue your case unaanza character assassination!
Hamna mtaalamu hapo nikuhakikishie ningeweza m challenge na hoja zaidi ya kumi Na hizo mita zake Mia tano
 
VP kampuni za wazawa? Je, hawawezi kufanya hii project? Je, tatizo ni ujuzi mdogo, elimu duni, uzoefu mdogo ama mitaji midogo ya wakandarasi wetu?

Kama tatizo ni ujuzi na uzoefu Mdogo, je kama nchi tuliwawezesha vipi kupata ujuzi kwenye phase 1 ya huu mradi?

Kama tatizo ni elimu mbovu, je kuna hatua gani zinachukuliwa na wahusika kurekebisha hilo?

Na kama tatizo ni mitaji midogo ya wakandarasi, je taasisi zetu za kifedha nchini zina msaada wowote? Na je, mfumo mzima wa upatikanaji mitaji kwa kampuni za wazawa kwa projects kama hizi upo vipi?

Je tunaelewa madhara ya kiuchumi kwa kuwa tegemezi kitaaluma?

Haya ni maswali ambayo kila mzalendo wa kweli anatakiwa kujiuliza.
Tatizo la wazawa ni uwezo wao.. Coz ata hizi project ndogo wanazopewa wanatina tina tu..
 
Utaalamu gani koko huo ina maana hata kama eneo ni pori hamna watu unaweka kituo kisa Ku meet rule ya kuwa Kila mita 500 kituo cha basi?

BUS STOP DESIGN GUIDE

3.9 In relation to the spacing of bus stops along a bus route, the compromise is between minimising walking distances for residents on one hand and avoiding the extension of the overall journey time as the number of stops is increased on the other.

3.10 Bus stop spacing may be determined more by the frequency of side road accesses than by the distance travelled.A general indication of 250 - 350m for bus stop spacing along the route may be quite adequate where there are few side accesses.
 
VP kampuni za wazawa? Je, hawawezi kufanya hii project? Je, tatizo ni ujuzi mdogo, elimu duni, uzoefu mdogo ama mitaji midogo ya wakandarasi wetu?

Kama tatizo ni ujuzi na uzoefu Mdogo, je kama nchi tuliwawezesha vipi kupata ujuzi kwenye phase 1 ya huu mradi?

Kama tatizo ni elimu mbovu, je kuna hatua gani zinachukuliwa na wahusika kurekebisha hilo?

Na kama tatizo ni mitaji midogo ya wakandarasi, je taasisi zetu za kifedha nchini zina msaada wowote? Na je, mfumo mzima wa upatikanaji mitaji kwa kampuni za wazawa kwa projects kama hizi upo vipi?

Je tunaelewa madhara ya kiuchumi kwa kuwa tegemezi kitaaluma?

Haya ni maswali ambayo kila mzalendo wa kweli anatakiwa kujiuliza.
Wakandarasi wa Tanzania wanachochemka ni mitaji! Kwa mfano Wachina wao wakiambiwa issue ya kuweka bond wao wanaenda serikalini kuomba hela na serikali inawapatia kama mkopo wakisha maliza project yao wanairudisha sie hapa bado zaidi ya NBC ndiyo nasikia wanatoa Bond mpaka Billion 5.
 
Kazi za wachina ni fake in most cases. Bei zao poa lakini......
Wanajua namna ya kupunguza gharama kama vile kuishi site, sasa Wabongo anaomba hana hata vifaa anategemea akipewa tenda alipwe 50% ndo anunue vifaa.
 
Hi
nimekutumia kutoka International bus stop design....
Vituo vilivyopo sasa hivi vya kariakoo kwenda mbagala viko below hiyo standard kituo hadi kituo haizidi mita 200 Na havizidi 14 uliza mkazi yeyote wa mbagala kusema vitakuwa 29 hapana
 
Kazi za wachina ni fake in most cases. Bei zao poa lakini......
Ila Kampuni iliyo kajenga barabara ya bagamoyo wala haikuwa ya kichina mpaka JPM akavunja mkataba wake ndiyo wakaja kushikilia ile ndege yetu kule Canada! kujenga kitu chini ya kiwango na tatizo la mkandarasi na msimamizi wa mradi! angalie mchina alishindwaje kushinda tender ya SGR phase1 & Phase 2? Yapi Merkezi alishinda na ni kampuni ya Kituruki.

Interchange ya Ubungo pale anajenga Mchhina na inaenda vizuri tu! kukiwa na 10% ndipo mradi unakuwa mbovu ila chini ya awamu hii sitarajiii kutokea hicho kitu.
 
Hi
Vituo vilivyopo sasa hivi vya kariakoo kwenda mbagala viko below hiyo standard kituo hadi kituo haizidi mita 200 Na havizidi 14 uliza mkazi yeyote wa mbagala kusema vitakuwa 29 hapana
Yehodaya, mimi nadhani wewe ni msomi, bahati mbaya au nzuri hatujuani. Unapobisha na nimekuwekea authority in this bissiness unanikatisha tamaa! Look nimekupa hesabu za 500 vikaja 46. Nikakupa hesabu za 200-350mtrs ... nakwekea the all doc usome
 
Ila Kampuni iliyo kajenga barabara ya bagamoyo wala haikuwa ya kichina mpaka JPM akavunja mkataba wake ndiyo wakaja kushikilia ile ndege yetu kule Canada! kujenga kitu chini ya kiwango na tatizo la mkandarasi na msimamizi wa mradi! angalie mchina alishindwaje kushinda tender ya SGR phase1 & Phase 2? Yapi Merkezi alishinda na ni kampuni ya Kituruki.

Interchange ya Ubungo pale anajenga Mchhina na inaenda vizuri tu! kukiwa na 10% ndipo mradi unakuwa mbovu ila chini ya awamu hii sitarajiii kutokea hicho kitu.
time will tell, we can not speculate now!
 
Wachina walikuwa wanashindanishwa na nani , wameahidi nini ambacho washindani wao wameshindwa ?
 
Wachina wameshinda tenda hiyo. Kampuni ya CCECC itapewa $160M. Itajumlisha urefu wa 20. 3km, flyovers 2, and 29 bus terminals.

Kazi itaanza mwezi huu December na kukamilika kwa miezi 36.

African develop bank ndiye mtoa hela.
Source : The Citizen

WA UBUNGO WANASEMA SHETANI MWINGNE AJA MBAGALA. UBUNGO WANALIA WANASEMA AFADHALI YA DALADALA ZA KAWAIDA. SIJUI UKWELI UKO WAPI?

=====

Dar es Salaam. China Civil Engineering and Construction Corporation has been awarded a tender to construct a $160 million second phase Bus Rapid Transit (BRT) project.

Construction of the 20.3km road would include two flyovers of 24m width and length of 150m each, 29 bus terminals, a control centre and a garage.

The project is expected to start this month and will be completed in 36 months.

Dar es Salaam Rapid Transit Agency public relations manager William Gatambi told The Citizen recently the project would start after finalising the compensation process to residents along Kilwa Road.

“We have so far paid 56 out of 105 people who are supposed to be compensated, “he said.

He said those that were yet to be paid were still opening their bank accounts so that the money could be deposited in their accounts. Others were completing some legal procedures.

According to him, so far there are no objections. People have been signing the affidavit forms for them to be paid so that they evacuate.

Reports show that African Development Bank agreed to issue $141 million for the project and the remaining funds will come from the government. With the growing population of Dar es Salaam, the government began to draw up plans for a rapid transit system in 2003. The government predicted the city population to grow to over 5 million by 2015 and invited the Japan International Cooperation Agency to design a master plan for transport in the city in June 2008.

A bus rapid transit and a metro transit system were proposed but the metro system was not approved due to the high construction and operational costs involved.

The project was placed under the Prime Minister’s office and a Dar Rapid Transit Agency (DART) was created through a government notice on 25 May 2007.[9] A 130 km bus rapid transit was planned to cover over 90% of the city’s population and the project was split into six phases due to the large investment required.[10] The initial project cost was financed by the world bank and the bank provided $180 million for the construction of the first phase
Thanks for editing!
 
Back
Top Bottom