Kampuni kutoka China yashinda zabuni ya BRT awamu ya pili kutoka Kariakoo hadi Mbagala

Jamani sisi wakazi wa mbagala hatutaki hiyo kitu inaitwa mwendo-kasi tuachieni daladala zetu tafadhalini sana
 
Tatizo ni Ghrama. Kampuni ya kibongo iliyotender bei ya chini kabisa ni 190M USD. Sasa utawapaje kazi?

Kwa hiyo wewe unaona IPI bora kati ya hizi;

1. Kutoa tenda kwa wazawa japo watacost 15% more lakini Pesa yote itabakia nchini kuboost uchumi

Au

2. Kutoa tenda kwa wageni sababu tu gharama zao ni ndogo lakini Pesa ya mradi iende nje ya nchi na kukuza uchumi wa nchi hiyo.

Nipe jibu lako!
 
VP kampuni za wazawa? Je, hawawezi kufanya hii project? Je, tatizo ni ujuzi mdogo, elimu duni, uzoefu mdogo ama mitaji midogo ya wakandarasi wetu?

Kama tatizo ni ujuzi na uzoefu Mdogo, je kama nchi tuliwawezesha vipi kupata ujuzi kwenye phase 1 ya huu mradi?

Kama tatizo ni elimu mbovu, je kuna hatua gani zinachukuliwa na wahusika kurekebisha hilo?

Na kama tatizo ni mitaji midogo ya wakandarasi, je taasisi zetu za kifedha nchini zina msaada wowote? Na je, mfumo mzima wa upatikanaji mitaji kwa kampuni za wazawa kwa projects kama hizi upo vipi?

Je tunaelewa madhara ya kiuchumi kwa kuwa tegemezi kitaaluma?

Haya ni maswali ambayo kila mzalendo wa kweli anatakiwa kujiuliza.
ni ujinga, mitaji ipo, wataalamu wapo tatizo wenye kampuni hawana akili. Wenye kampuni za ujenzi wengi hawajui kuhusu ujenzi tz. Wanatafuta tenda ndogo ndogo za halmashauri wapige hela. Zikitokea tenda kubwa kama hizi za hata kujitangaza wanaingia mitini. Wanasubiri kuajiriwa na wachina wafanye vikazi vidogo vidogo. Mradi kama huu hauna cha kupoteza kwahiyo wakiwekeza na mikopo itawalipa tu lakini hawataki.
 
Je, kama tatizo ni ujinga wa wakandarasi, je kwa nini wasipatiwe elimu kuondoa huo ujinga kwa manufaa ya taifa zima.?
 
Tanzania imegeuzwa kuwa koloni jipya la mchina hata kwenye mikataba ya kifisadi China haikosekani.
 
VP kampuni za wazawa? Je, hawawezi kufanya hii project? Je, tatizo ni ujuzi mdogo, elimu duni, uzoefu mdogo ama mitaji midogo ya wakandarasi wetu?

Kama tatizo ni ujuzi na uzoefu Mdogo, je kama nchi tuliwawezesha vipi kupata ujuzi kwenye phase 1 ya huu mradi?

Kama tatizo ni elimu mbovu, je kuna hatua gani zinachukuliwa na wahusika kurekebisha hilo?

Na kama tatizo ni mitaji midogo ya wakandarasi, je taasisi zetu za kifedha nchini zina msaada wowote? Na je, mfumo mzima wa upatikanaji mitaji kwa kampuni za wazawa kwa projects kama hizi upo vipi?

Je tunaelewa madhara ya kiuchumi kwa kuwa tegemezi kitaaluma?

Haya ni maswali ambayo kila mzalendo wa kweli anatakiwa kujiuliza.
mkuu kampuni za wazawa haziwezi....kwanza lazima kazi iwe mbovu kabisa....maana wanachowaza baada ya kushinda tenda ni nani wa kumpa rushwa kuliko kufocus kwenye ubora wa kazi.......
 
VP kampuni za wazawa? Je, hawawezi kufanya hii project? Je, tatizo ni ujuzi mdogo, elimu duni, uzoefu mdogo ama mitaji midogo ya wakandarasi wetu?

Kama tatizo ni ujuzi na uzoefu Mdogo, je kama nchi tuliwawezesha vipi kupata ujuzi kwenye phase 1 ya huu mradi?

Kama tatizo ni elimu mbovu, je kuna hatua gani zinachukuliwa na wahusika kurekebisha hilo?

Na kama tatizo ni mitaji midogo ya wakandarasi, je taasisi zetu za kifedha nchini zina msaada wowote? Na je, mfumo mzima wa upatikanaji mitaji kwa kampuni za wazawa kwa projects kama hizi upo vipi?

Je tunaelewa madhara ya kiuchumi kwa kuwa tegemezi kitaaluma?

Haya ni maswali ambayo kila mzalendo wa kweli anatakiwa kujiuliza.

Wabongo wamezoea kupiga
 
Kiutaalam kituo kinatakiwa kuwa kila baada ya mita 500 sasa ukichukua hapo Barabara ina 20Klm vituo 29 ni vichache.
Sidhani vituo vilivyopo sasa kituo hadi kituo cha daladala kwenda mbagala hakizidi mita 200 Na havizidi 14.Kuwa kutakuwa Na Vituo 29 hadi mbagala sielewi kweli.Nadhani kuna kosa la kiuandishi.Haiwezekani vikawa vituo 29
 
Kiutaalam kituo kinatakiwa kuwa kila baada ya mita 500 sasa ukichukua hapo Barabara ina 20Klm vituo 29 ni vichache.
Vema, umekuwa very professional, tuwekee authority ya hiyo 500mtrs
 
Sidhani vituo vilivyopo sasa kituo hadi kituo cha daladala kwenda mbagala hakizidi mita 200 Na havizidi 14.Kuwa kutokuwa Na Vituo 29 hadi mbagala sielewi kweli.Nadhani kuna kosa la kiuandishi.Haiwezekani vikawa vituo 29
huyu mtaalamu amesema for every 500 mtrs you have a bus stand...... now for 23 km which is equivalent to 1000mtrs/500 x 23= 46. Unaona kuwa vimepungua kutoka 46 to 29! Naomba maoni yako
 
Utaalamu gani koko huo ina maana hata kama eneo ni pori hamna watu unaweka kituo kisa Ku meet rule ya kuwa Kila mita 500 kituo cha basi?
 
Unaanza matusi sasa! This is a sign of failure to argue your case unaanza character assassination!
 
Back
Top Bottom