Kampuni kutoka China yashinda zabuni ya BRT awamu ya pili kutoka Kariakoo hadi Mbagala

VP kampuni za wazawa? Je, hawawezi kufanya hii project? Je, tatizo ni ujuzi mdogo, elimu duni, uzoefu mdogo ama mitaji midogo ya wakandarasi wetu?

Kama tatizo ni ujuzi na uzoefu Mdogo, je kama nchi tuliwawezesha vipi kupata ujuzi kwenye phase 1 ya huu mradi?

Kama tatizo ni elimu mbovu, je kuna hatua gani zinachukuliwa na wahusika kurekebisha hilo?

Na kama tatizo ni mitaji midogo ya wakandarasi, je taasisi zetu za kifedha nchini zina msaada wowote? Na je, mfumo mzima wa upatikanaji mitaji kwa kampuni za wazawa kwa projects kama hizi upo vipi?

Je tunaelewa madhara ya kiuchumi kwa kuwa tegemezi kitaaluma?

Haya ni maswali ambayo kila mzalendo wa kweli anatakiwa kujiuliza.
Nyerere aliwahi sema ukimpa mtanzania au muafrca kazi hamalizi na pesa yote amekula. Tunamijitu mijinga sana nainajiita Eng. Hongera Eng Mfugale
 
Construction of the 20.3km road would include two flyovers of 24m width and length of 150m each, 29 bus terminals, a control centre and a garage

Lisije kufanyika tena kosa kwenye kuchagua eneo la garage
 
Shida nyingine hii inaenda kuwakumba watu wa mbagala. Mbezi kimara wanalia, nanyi mtaungana nao.
Hizi tenda kwanini hawapewi wazawa au kukawa na kipengele kwamba ili upewe tenda hiyo lazima ushirikiane na kampuni za wazawa?
Hivi tunajielewa sisi kweli au kwa sababu tuliishaambiwa sisi ni wanyonge kwahiyo hata kuwaza hatuwezi?
 
Sidhani vituo vilivyopo sasa kituo hadi kituo cha daladala kwenda mbagala hakizidi mita 200 Na havizidi 14.Kuwa kutokuwa Na Vituo 29 hadi mbagala sielewi kweli.Nadhani kuna kosa la kiuandishi.Haiwezekani vikawa vituo 29
Tumia huo ubongo wako vizuri basiii, vituo 29 ni kishoto na kulia means 14 au 15 pande zote. Hivyo utagundua kwamba kwa sababu vitakua katikati ndio unapata hiyo 29
 
WA UBUNGO WANASEMA SHETANI MWINGNE AJA MBAGALA. UBUNGO WANALIA WANASEMA AFADHALI YA DALADALA ZA KAWAIDA. SIJUI UKWELI UKO WAPI?
 
Tumia huo ubongo wako vizuri basiii, vituo 29 ni kishoto na kulia means 14 au 15 pande zote. Hivyo utagundua kwamba kwa sababu vitakua katikati ndio unapata hiyo 29
Ok kwenda 14 kurudi 14 Na kituo kikuu mbagala kimoja ujumla 29 .Hapo nimeelewa.Japo jengo la kituo ni.moja vinahesabika vituo viwili Chinese mathematics.Nilijua jengo moja kituo kimoja hadi kufika vituo 29 maana yake majengo 29 ya vituo
 
wakati flani nilikua nauza viti akaja mteja mzungu
Mzungu-how much
Mimi-150000
Mzungu-made in where
Mimi-china
Mzungu-where else!
Mimi-nowhere
 
VP kampuni za wazawa? Je, hawawezi kufanya hii project? Je, tatizo ni ujuzi mdogo, elimu duni, uzoefu mdogo ama mitaji midogo ya wakandarasi wetu?

Kama tatizo ni ujuzi na uzoefu Mdogo, je kama nchi tuliwawezesha vipi kupata ujuzi kwenye phase 1 ya huu mradi?

Kama tatizo ni elimu mbovu, je kuna hatua gani zinachukuliwa na wahusika kurekebisha hilo?

Na kama tatizo ni mitaji midogo ya wakandarasi, je taasisi zetu za kifedha nchini zina msaada wowote? Na je, mfumo mzima wa upatikanaji mitaji kwa kampuni za wazawa kwa projects kama hizi upo vipi?

Je tunaelewa madhara ya kiuchumi kwa kuwa tegemezi kitaaluma?

Haya ni maswali ambayo kila mzalendo wa kweli anatakiwa kujiuliza.
Wazawa wana uwezo...ila bado hawana utayari. Akili zao kwa sasa zinawafaa barabara za vumbi. Bahati mbaya hata bodi zao za kitaalamu nazo hakuna la maana wala tofauti . Mambo yale yale toka 1961 mpaka leo
 
Kazi za wachina ni fake in most cases. Bei zao poa lakini......
Hivi wanajenga according to standard za mteja au wanaamua wao kujenga kiwango wanachotaka? Vipi like daraja Kigamboni nalo ni fake?
 
Back
Top Bottom