joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
US Company Exits Kenya, Moves to Zambia 5 Months After Opening Nairobi Shop
Zambia ni miongoni mwa nchi tano zilizokua mstari wa mbele katika ukombozi kusini mwa Africa, zikiongozwa na Tanzania, nchi hizi zote zilikua zimetengwa na nchi za kimagharibi na kuwekewa vikwazo vingi vya kibiashara na wazungu, vipi leo tena wazungu wanamkimbia mshirika wao mkubwa na kukimbilia Zambia?
Sent using Jamii Forums mobile app