Kampuni kubwa la "USA" lafungasha virago Kenya na kukimbilia Zambia

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Acha uongo na uzandiki. Lini Tanzania tulitengwa na mataifa ya magharibi??? Halafu unavijua vikwazo wewe??? Muulize Zimbabwe atakueleza vizuri nini maana ya vikwazo.

Serekali hii ndio wanalazimisha tuchezee kibano kwa nguvu zote.
 
Tanzania iliwekewa vikwazo vya chini kwa chini (miaka hiyo Tz ilikuwa ina nguvu kweli kweli ya ushawishi)

Watu wanaposema Tz ni sleeping giant huwa wanamaanisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom