#COVID19 Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson & Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine kwa watu wote waliopata chanjo ya kwanza

Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson&Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine ambayo itatolewa kwa watu wote waliochanjwa dozi ya awali ili kuupa mwili nguvu zaidi kupambana na kirusi cha Delta.

J&J imesifia chanjo yake ya pili kua inatengeneza kinga nyingi mwilini kupambana na Corona virus delta variant.

Soma zaidi.
Kama JJ wanada chanjo yao inaongeza kinga sasa booster ya nini?

Vv
 
Back
Top Bottom